shida ni kwamba, ukiingiza dini kwenye siasa, yaani askofu kugeuka kuwa mwanasiasa, atahubiria kwenye makanisa na atagawa watu kwa minajili ya dini. kama kutoa maoni angetoa tu huko kanisani kwake, ila kuondoka na kwenda magerezani hapo naona ameibip serikali muda mrefu ameona haimpigiii analazimisha impigie ili apate cha kuongea. imagine kama mashehe nao wangekuwa wanaenda magerezani au kuandamana mitaani kama yeye, wachungaji nao hivyohivyo, tungekuwa na nchi hapa? hako kajamaa sijui kalizaliwa wapi, na kamesoma uingereza kwa mabasha huko, kataleta usodoma? inamaana kanisa la moravian ndio limemtuma afanye hayo anayoyafanya?