Askofu Bandekile Mwamakula aungana na Bavicha kusalimia Wafungwa wa kisiasa waliolundikwa kwenye Magereza za Tanzania tangu uchaguzi wa 2020

Askofu Bandekile Mwamakula aungana na Bavicha kusalimia Wafungwa wa kisiasa waliolundikwa kwenye Magereza za Tanzania tangu uchaguzi wa 2020

Ndiyo maana nakushauri, waulize ndugu zako, kama wanakuona ni mzima. Hakuna mwenye afya njema ya akili, anayetamka haya unayotamka wewe.

Toka mwanzo, nimehisi una tatizo la afya ya akili, sishtuki na haya unayoropoka. Zaidi unazidi uthibitisha nilichodhania. Watu wenye matatizo ya akili wanaweza kunena na kutenda lolote.

Mungu akusaidie, upone haraka. Ongea na ndugu zako wa karibu.
WE UTAKUWA SHOGA TU UNATAFUTA BWANA ACHANA NA MIMI MGONJWA NI WEWE
 
Lakini kupitia maombi yake watu wameaibika pamoja na ulinzi wa chopa,bunduki,mizinga ...... wameondoka kwa aibu.Taratibu tu tutaelewana.
Acha kujifariji, mapenzi ya Mungu yalitimia.
 
Askofu au mhuni mmoja tu kama wahuni wengine huyu atakuwa amekula hela za mabeberu alikuwa na uhakika lissu atashinda urais sasa akakosa amebaki kuacha uchungaji na kuwa mwana siasa sasa hivi naye atakimbilia ulaya kuolewa aseme amekuwa mkimbizi wa kisiasa
Wewe acha hizo! Unafikiri maombi aliyoachia kipindi cha uchaguzi yatawaacha salama.
Kichwa cha jiwe hicho kinasiginwa na funza-- who is next------
 
Serikali inafanya kosa kubwa sana kumlea huyu jamaa. hafai hata kuitwa askofu. anachanganya sana siasa na dini jambo ambalo ni baya sana. naongea hivi kwasababu kwa harakati hizo angekuwa shehe angeshafungwa, kwanini wasimfunge huyu naye?
Jina lako linakuakisi, kweli chapwa24 , unachapwa 24hrs au tuseme 24/7
 
Sasa Iboya2021 . Ni kweli tu kuwa Askofu anaweza kuwa na mapungufu yake. Lakini Je kuwarundika waTz magerezani kwa kesi za kubumba ni haki ipi hiyo ?!
wewe unajuaje kama za kubambiaka zote si mpaka mahakama ijiridhishe ?na tatizo lenu chadema mnafikiri kuwa mtu akiwa wa chadema hafanyi makosa na kuwa mnaonewa nyinyi tu siyo kweli
 
wewe unajuaje kama za kubambiaka zote si mpaka mahakama ijiridhishe ?na tatizo lenu chadema mnafikiri kuwa mtu akiwa wa chadema hafanyi makosa na kuwa mnaonewa nyinyi tu siyo kweli
Za kubambika hizo. IlikuwaJe Nusrat Hanje mkamtoa gerezani usiku wa manane bila hata remove order kuwahi kuapishwa asubuhi, tena mkoa mwingine , kama kweli kesi dhidi yake ilikuwa na mashiko ?!. Wafuasi wa wagombea wote wa Cdm mkoa wa Mara mliwakamata wamo ndani halafu mliowadhulumu majimbo , mnawahonga viti maalum !!. Kama kesi dhidi yao ingekuwa na mashiko mngewazawadia ubunge ?!.

Hujui uhuni aliofanya jamaa. Bora Mungu amepunguza kujiinua kwake.
 
Tatizo ni kwamba, ama huna dini, au huyajui maandiko.

Mathayo 25:36

"Nilikuwa uchi, mkanivika; nilikuwa mgonjwa nanyi mkaja kunitazama; nilikuwa gerezani nanyi mkaja kunitembelea.’

Hongera Baba Askofu kwa maana unayaishi maandiko.
Asante sana mkuu
 
Askofu alifunga kwa maombi kwamba yeyeto yule ataekavuruga uchaguzi Mungu awaaaibishe.Mungu katenda wametawanyika njia saba
Sijui kwanini Sizonje hakushtuka baada ya kuona mtumishi wa Mungu Mwamakula ameingilia kati hali ya haki ya watanzania. Alivyoona amejiapisha urais alidhani yameisha. Aisee miezi mitatu sijui kama kaimaliza.
 
shida ni kwamba, ukiingiza dini kwenye siasa, yaani askofu kugeuka kuwa mwanasiasa, atahubiria kwenye makanisa na atagawa watu kwa minajili ya dini. kama kutoa maoni angetoa tu huko kanisani kwake, ila kuondoka na kwenda magerezani hapo naona ameibip serikali muda mrefu ameona haimpigiii analazimisha impigie ili apate cha kuongea. imagine kama mashehe nao wangekuwa wanaenda magerezani au kuandamana mitaani kama yeye, wachungaji nao hivyohivyo, tungekuwa na nchi hapa? hako kajamaa sijui kalizaliwa wapi, na kamesoma uingereza kwa mabasha huko, kataleta usodoma? inamaana kanisa la moravian ndio limemtuma afanye hayo anayoyafanya?
Umoja wa TAG na Waislam kule dodoma na makongamano ya kumpongeza mwenyekiti wa ccm haikuwa kuchanganya dini na siasa??
 
Serikali inafanya kosa kubwa sana kumlea huyu jamaa. hafai hata kuitwa askofu. anachanganya sana siasa na dini jambo ambalo ni baya sana. naongea hivi kwasababu kwa harakati hizo angekuwa shehe angeshafungwa, kwanini wasimfunge huyu naye?
Kosa la Magu na washirika wake lilianzia pale walipowadhalilisha watumishi wa Mungu. Eti polisi wanasema .... Yule anayejiita Askofu Mwamakula tumemshikilia kwa mahojiano. Wiki haikuisha chali.
 
shida ni kwamba, ukiingiza dini kwenye siasa, yaani askofu kugeuka kuwa mwanasiasa, atahubiria kwenye makanisa na atagawa watu kwa minajili ya dini. kama kutoa maoni angetoa tu huko kanisani kwake, ila kuondoka na kwenda magerezani hapo naona ameibip serikali muda mrefu ameona haimpigiii analazimisha impigie ili apate cha kuongea. imagine kama mashehe nao wangekuwa wanaenda magerezani au kuandamana mitaani kama yeye, wachungaji nao hivyohivyo, tungekuwa na nchi hapa? hako kajamaa sijui kalizaliwa wapi, na kamesoma uingereza kwa mabasha huko, kataleta usodoma? inamaana kanisa la moravian ndio limemtuma afanye hayo anayoyafanya?
Akina Gwajima hawafanyi dini na siasa.....we sijui nikupe tusi gani.
 
Back
Top Bottom