LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,255
- 6,252
Wapi? Wamekula miradi ya wajane? Kweli hakuna dini iliyosafi kwa style hiI za kula hela za wajaneShoo mnamwonea, wakati akiwa Askofu mkuu huku ulikuwa na maaskofu, mmoja wao ni Askofu Malasusa,
Kama kanisa kuoza ni kote, na ieleweke tu kuwa huyo Shoo aliwekewa mgomo baridi, kundi kubwa likimtaka Malasusa.
Huku kwetu hata miradi ya wajane imeliwa, je nayo alaumiwe Shoo?
Ngoja sasa si tutaona.
Usiwe mdini. Kuwa mkristo, ukifanya hivi utaweza kumwabudu Mungu wa kweli kwa kufanya mate do ya kristo haswa haswaWapi unaweza kumuabudu mungu wa kweli asiyehitaji pesa wala michango?
Bahati mbaya hujui KKKT inavyoendesha mambo yake.Mchaga na pesa kama pipa na mfuniko
👍👌👏🙏Mbona umechanganya hoja ,kuchanganya CHADEMA na askofu Shoo unataka kusema Kanisa ni taasisi ya CHADEMA??
Na umeleta habari hizi hapa ili tujadili nini ,kwanini usijitokeze pale KKKT uwapelekee ushahidi ili wawachukulie hatua mafisadi?
Jinsi mnavyojipanga ndani ya kanisa, haituhusu, sisi tunaangalia mtu mliyemtambulisha kuwa ndio mkuu wa kanisa hapa Tanzania.Bahati mbaya hujui KKKT inavyoendesha mambo yake.
Mkuu wa Kanisa hana mamlaka ya kuingilia utendaji wa Dayosisi nyingine.
Dr Shoo katika uongozi wa wake ameweza kutengeneza Katiba ambayo Mkuu wa Kanisa atakuwa na uwezo mkubwa ikiwemo kuingilia utendaji wa Dayosisi yoyote ikiwemo kumsimamisha kazi,kumfukuza kazi Askofu atakayethibitika kuharibu au kufanya ubadhirifu katka Dayosisi yake.
Kwa mara ya kwanza Mkuu wa kanisa hatakuwa mkuu wa Dayosisi yoyote.
Kwa mara ya kwanza KKKT itakuwa na Katibu Mkuu Kiongozi.
Kwa mara ya kwanza taratibu za kiuongozi kuanzia masuala ya kiroho,kiutawala,kifedha na nk yatakuwa na udhibiti wa makao makuu ya KKKT Arusha.Mfano kiwango cha kukopa au kuanzisha mradi mkubwa lazima kibali cha makao makuu kwanza.
Mafanikio haya yote yamewezekana kupitia uongozi wa Dr Shoo.
Muelekeo wa KKKT siku zijazo ni mzuri kwakuwa sasa wale maaskofu wajeuri waliozigeuza Dayosisi zao kama mali zao binafsi hawatakuwa na nafasi hiyo tena.
Vipi mkuu kisu kimefika kwenye mfupa?Ukijua kushutumu vumilia pia kushutumiwa.Usipende kusikia mazuri tu na kama kuna mabaya kuwa mvumilivu yasemwe.Wacha udikteta.Futeni upuuzi huu. Anamchonganisha Askofu Bangoza hajasema hayo. Chuki binafsi kwa kwa Chadema na Shoo pia. Jamii Forum nitawashanga sana mkiachia upuuzi huu uendelee kuwepo hapo.
Yukowapi mtuhumiwa ili ajitetee nawewe ushahidi ukowapi? Mnaona fahari kuchafua watu pasi na ushahidi kisa unatoka kile Chama Cha Majizi.Sisi tumechagua Mahakama ya Umma
Mbona unatumia njia hiyo hiyo kuchafua wengine?Wewe ukiguswa ohh unamfurahisha shetani.Yukowapi mtuhumiwa ili ajitetee nawewe ushahidi ukowapi? Mnaona fahari kuchafua watu pasi na ushahidi kisa unatoka kile Chama Cha Majizi.
Endelea kumfurahisha shetani...
Ichi kingreza ulichokopi kuhusu keki tumekusamehe...Mbona unatumia njia hiyo hiyo kuchafua wengine?Wewe ukiguswa ohh unamfurahisha shetani.
You cannot eat your cake and have it too.Kwenye ubatili acha visingizio bila hivyo huwezi kuwa na moral authority ya kukemea chochote. The choice is yours.Acha unafiki.
CAG amewekwa ili kukagua hesabu na kama kuna matatizo aliyoyasema sio ushahidi wa kosa la jinai.Ichi kingreza ulichokopi kuhusu keki tumekusamehe...
Mnafiki ni anayetuhumu watu na hana ushahidi!! Chama Cha Majizi ushahidi upo kwenye CAG report, you
CAG anaushahidi wa jinsigani tunapigwa na ndiolengo la yeye kuchunguza!CAG amewekwa ili kukagua hesabu na kama kuna matatizo aliyoyasema sio ushahidi wa kosa la jinai.
Kosa la jinai linathibitishwa na Mahakama sio CAG.Pamoja na uelewa wako mdogo nataraji unalielewa hilo.CAG sio mahakama kwamba akisema ndio watu wanakuwa stamped kwamba ni wahalifu.Hiyo Kangaroo Court yako inakuhusu wewe mwenyewe.Kuhusu kiingereza najua kinakupa tabu hujajua hata nilimaanisha nini.
Jifunze kuandika.Mwalimu wako alipata tabu sana.Uliishia la nne?Kwa sababu hata mwanafunzi wa darasa la saba anajua pa kuunganisha na kutenganisha maneno anayoandika.CAG anaushahidi wa jinsigani tunapigwa na ndiolengo la yeye kuchunguza!
Siasa zinafanya muwe na akili kidunchu na mahaba tele Kwa wanaowaibia,endelea kujiita msomi nakizungu chako feki.