Kwahiyo akafanye toba au?? 😂😂😂😂Hata Robert Armstadam"aamini"
Mzee Ponda yuko wapi?
Dodoma alisema Lissu ndo Rais wa Tanzania kilichobaki ni kuapishwa tu,kwanini kawadanganya umma wa makananda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo akafanye toba au?? 😂😂😂😂Hata Robert Armstadam"aamini"
Mzee Ponda yuko wapi?
Dodoma alisema Lissu ndo Rais wa Tanzania kilichobaki ni kuapishwa tu,kwanini kawadanganya umma wa makananda?
Wanatupingiaje matokeo tuliyo yapigia kura na kuyatafutia kura wenyewe?. Kuna silent majority nje ya mitandao, walikuwa wanawacheki tu. Kesho sie wengine ni job kama kawa, maisha yetu yanaendelea.Inashangaza!
tumetulia tulii
tunawasubiri Marekani waje watuamulie watusaidie kupinga matokeo why
Jua limezama na macho ya wengi hayaoni waendakoWatanzania wanaipenda sana CCM ndio maana wapo majumbani wanafurahia ushindi wa CCM kwa amani. Kinyume na hapo wangekuwa mabarabarani wanaandamana.
Hao waislamu wenyewe hawakutokea kupiga kura.Hata Robert Armstadam"aamini"
Mzee Ponda yuko wapi?
Dodoma alisema Lissu ndo Rais wa Tanzania kilichobaki ni kuapishwa tu,kwanini kawadanganya umma wa makananda?
Dk.Slaa alishinda hata Lowassa alishinda ila wenyewe mkawa mnasema uchaguzi huu ni tofauti CCM lazima ang'oke. Kwahiyo hoja hapa sio Lissu kushinda bali CCM kung'oka.Kwani Sasa Lissu ameshindwa? Mbona ameshinda Sana. Mlichofanya nikugeuza matokeo mkatangaza wakwenu. Hilo tulilijia litafanyika kwakuwa hamkubaliki na hili mnalijua, Magu anajua kuwa hakubaliki na MUNGU anajua. Kama mlikuwa mnakubalika, visa vyote hivyo vilikuwa vya nini? Hizo kura feki zilikuwa za nini? Police na tume ndio wameshikilia uhai wenu. Mnngekuja uwanjani tupambane muone Nini kingetokea.
Hivi kwenye kutangaza matokeo ya uchaguzi mawakala au wagombea huwa wanashiriki au NEC pekee?Sikia nikwambie,ni ujinga kusema mmeibiwa.
na hata kama ni kuibiwa basi mnaibiwa kuanzia madiwani,ubunge mpaka Urais tena nchinzima kila kata?
Na kama ni kweli mmeibiwa basi nyinyi ni wapuuzi,kwanini mnaibiwa kila uchaguzi ilhali mawakala wenu wapo na wanafatilia kila hatua ya upigaji kura?
Kama kweli kila mwaka mnaibiwa na mnakubali kushiriki uchaguzi wa wizi, viongozi wenu wanaakili timamu kwenye vichwa vyao,kukubali kushiriki kwenye uwizi?
Kama kweli mnaibiwa basi mnaibiwa kizembe sana hata mkipewa nchi rasilimali za nchi pamoja na hazina ya nchi itaibiwa kizembe sana kwakuwa hamko makini.
CHADEMA piteni kushoto mtupishe.
CCM tuna jambo letu la kuapishwa kwa Rais JPM.
Hawa ndio wawakilishi waliochaguliwa na wananchi, wananchi wanaipenda sana CCM, sasa nchi yetu inaenda kuwa kama Ulaya
Hata wewe unaeshabikia ushindi wa CCM huamini. Watu waliokosa furaha na imani wana hulka ya ubishi.
Karibia viongozi wengi wa dini walichagua upande[emoji23] [emoji23] [emoji23] Katika watu wanaumia katika haya matokeo ni huyu Askofu wangu! Maana yeye alishajichagulia upande toka siku nyingi sana.
Stupid burger!
Ndiyo maana wengi wao maskini wamejaa stress za maisha tu, wanabaki kutuombaomba hela kila siku. Stupid country stupid people, no wonder wanachukuliwa advantage, ukishatambua flani ni vilaza unawafanya unachojisikia wanasema ndiyo mzee, wakileta ubishi kidogo unaenda kanisani kujifanya mtu wa mungu ukirudi wanakutukuza, shenzi. December ifike mapema niruke zangu states niwaache kwenye hiki choo mnachoita nchi.Watanzania wanaipenda sana CCM ndio maana wapo majumbani wanafurahia ushindi wa CCM kwa amani. Kinyume na hapo wangekuwa mabarabarani wanaandamana.
Wengine tunaamini na kufurahiaWOTE HAWAAMINI...
Na Askofu Benson Bagonza, KKKT Dayosisi ya Karagwe
Waliopiga kura hawaamini,
Waliogoma kupiga kura hawaamini,
"Walioshinda" hawaamini,
"Walioshindwa" hawaamini,
Walioshuhudia hawaamini,
Waliohesabu kura hawaamini,
Wasimamizi hawaamini,
Waangalizi wa ndani na nje hawaamini,
Walinzi wa amani hawaamini,
Kwa nini lakini?
KWA sababu mwaka 2019 baada ya Uchaguzi wa serikali za mitaa,
"Walioshinda" hawakuwa na furaha,
"Walioshindwa" hawakuwa na furaha,
Waliopiga kura, ambao hawakupiga kura, waliohesabu, waliotangaza na waliosikia, WOTE hawakuwa na furaha. FURAHA alipotea, hajarudi. Sasa na IMANI ametoweka.
Usinibishie kwa sababu ubishi ni hulka ya watu waliopoteza furaha na Imani.
Nani anafuata kuwafuata FURAHA na IMANI?
Hata wewe uliyeandika huamini na mimi nayesoma huu ujumbe wako siaminiWOTE HAWAAMINI...
Na Askofu Benson Bagonza, KKKT Dayosisi ya Karagwe
Waliopiga kura hawaamini,
Waliogoma kupiga kura hawaamini,
"Walioshinda" hawaamini,
"Walioshindwa" hawaamini,
Walioshuhudia hawaamini,
Waliohesabu kura hawaamini,
Wasimamizi hawaamini,
Waangalizi wa ndani na nje hawaamini,
Walinzi wa amani hawaamini,
Kwa nini lakini?
KWA sababu mwaka 2019 baada ya Uchaguzi wa serikali za mitaa,
"Walioshinda" hawakuwa na furaha,
"Walioshindwa" hawakuwa na furaha,
Waliopiga kura, ambao hawakupiga kura, waliohesabu, waliotangaza na waliosikia, WOTE hawakuwa na furaha. FURAHA alipotea, hajarudi. Sasa na IMANI ametoweka.
Usinibishie kwa sababu ubishi ni hulka ya watu waliopoteza furaha na Imani.
Nani anafuata kuwafuata FURAHA na IMANI?
FURAHA hakuna, na watu wapo kifungoni, upatikanaji wa mitandao ni shiiida🙄WOTE HAWAAMINI...
Na Askofu Benson Bagonza, KKKT Dayosisi ya Karagwe
Waliopiga kura hawaamini,
Waliogoma kupiga kura hawaamini,
"Walioshinda" hawaamini,
"Walioshindwa" hawaamini,
Walioshuhudia hawaamini,
Waliohesabu kura hawaamini,
Wasimamizi hawaamini,
Waangalizi wa ndani na nje hawaamini,
Walinzi wa amani hawaamini,
Kwa nini lakini?
KWA sababu mwaka 2019 baada ya Uchaguzi wa serikali za mitaa,
"Walioshinda" hawakuwa na furaha,
"Walioshindwa" hawakuwa na furaha,
Waliopiga kura, ambao hawakupiga kura, waliohesabu, waliotangaza na waliosikia, WOTE hawakuwa na furaha. FURAHA alipotea, hajarudi. Sasa na IMANI ametoweka.
Usinibishie kwa sababu ubishi ni hulka ya watu waliopoteza furaha na Imani.
Nani anafuata kuwafuata FURAHA na IMANI?
That's gross bro.[emoji23][emoji23]Ndiyo maana wengi wao maskini wamejaa stress za maisha tu, wanabaki kutuombaomba hela kila siku. Stupid country stupid people, no wonder wanachukuliwa advantage, ukishatambua flani ni vilaza unawafanya unachojisikia wanasema ndiyo mzee, wakileta ubishi kidogo unaenda kanisani kujifanya mtu wa mungu ukirudi wanakutukuza, shenzi. December ifike mapema niruke zangu states niwaache kwenye hiki choo mnachoita nchi.
Swali ni kwamba kwa nini mmeshinda lakini bado hamuamini kama mmeshida! Kwa nini watu wote walioshinda walioshindwa wamepoteza furaha au wewe unaishi nje ya nchi huyaoni hayo?Askofu anatoa maneno matupu ya misamiati, CCM ishashinda kwa kishindooo, askofu endelea kutoa maneno zaidi na zaidi, CCM INATOA VITENDO ZAIDI