Sio Mungu aliyewasaidia, huyo Ni shetani. Kumbuka hata shetani hutenda miujiza.Mimi naamini,maana Mungu hawezi tusaidia wakati hatujielewi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio Mungu aliyewasaidia, huyo Ni shetani. Kumbuka hata shetani hutenda miujiza.Mimi naamini,maana Mungu hawezi tusaidia wakati hatujielewi
Nimesema kuwa Mungu hawezi tusaidia sababu hatujielewiSio mungu aliyewasaidia, huyo Ni shetani. Kumbuka hata shetani hutenda miujiza.
Ndiyo maana haamini hahahahaha. Askofu fake[emoji23] [emoji23] [emoji23] Katika watu wanaumia katika haya matokeo ni huyu Askofu wangu! Maana yeye alishajichagulia upande toka siku nyingi sana.
Watz wanaipenda sana CCM ndio maana wapo majumbani wanafurahia ushindi wa CCM kwa amani. Kinyume na hapo wangekuwa mabarabarani wanaandamana.
Acha wewe kasalishe huko mbona mawazo mepesi hivyo hiyo ni democracy
Haijashinda imejishindisha kwa mtutu wa bunduki na vifaru. Kubwa lilajoAskofu anatoa maneno matupu ya misamiati, CCM ishashinda kwa kishindooo, askofu endelea kutoa maneno zaidi na zaidi, CCM INATOA VITENDO ZAIDI
Hehehee kila mtu haaminiWOTE HAWAAMINI...
Na Askofu Benson Bagonza, KKKT Dayosisi ya Karagwe
Waliopiga kura hawaamini,
Waliogoma kupiga kura hawaamini,
"Walioshinda" hawaamini,
"Walioshindwa" hawaamini,
Walioshuhudia hawaamini,
Waliohesabu kura hawaamini,
Wasimamizi hawaamini,
Waangalizi wa ndani na nje hawaamini,
Walinzi wa amani hawaamini,
Kwa nini lakini?
KWA sababu mwaka 2019 baada ya Uchaguzi wa serikali za mitaa,
"Walioshinda" hawakuwa na furaha,
"Walioshindwa" hawakuwa na furaha,
Waliopiga kura, ambao hawakupiga kura, waliohesabu, waliotangaza na waliosikia, WOTE hawakuwa na furaha. FURAHA alipotea, hajarudi. Sasa na IMANI ametoweka.
Usinibishie kwa sababu ubishi ni hulka ya watu waliopoteza furaha na Imani.
Nani anafuata kuwafuata FURAHA na IMANI?
Kweli mkuu, yeye alishajichagulia upande long time ago, sasa anaugulia ndani kwa ndani. Sitashangaa next time akiamua kujitosa ulingoni 😂😂😂[emoji23] [emoji23] [emoji23] Katika watu wanaumia katika haya matokeo ni huyu Askofu wangu! Maana yeye alishajichagulia upande toka siku nyingi sana.
Kichapo au ulafi hata kichapo hakipo hivi....Upuuzi mtupu, kichapo very heavy.
Utapata taabu sanaaaa.WOTE HAWAAMINI...