Uchaguzi 2020 Askofu Benson Bagonza: Wote Hawaamini

Hata Robert Armstadam"aamini"

Mzee Ponda yuko wapi?
Dodoma alisema Lissu ndo Rais wa Tanzania kilichobaki ni kuapishwa tu,kwanini kawadanganya umma wa makananda?
Kwahiyo akafanye toba au?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Inashangaza!
tumetulia tulii
tunawasubiri Marekani waje watuamulie watusaidie kupinga matokeo why
Wanatupingiaje matokeo tuliyo yapigia kura na kuyatafutia kura wenyewe?. Kuna silent majority nje ya mitandao, walikuwa wanawacheki tu. Kesho sie wengine ni job kama kawa, maisha yetu yanaendelea.
 
Hata Robert Armstadam"aamini"

Mzee Ponda yuko wapi?
Dodoma alisema Lissu ndo Rais wa Tanzania kilichobaki ni kuapishwa tu,kwanini kawadanganya umma wa makananda?
Hao waislamu wenyewe hawakutokea kupiga kura.
 
Dk.Slaa alishinda hata Lowassa alishinda ila wenyewe mkawa mnasema uchaguzi huu ni tofauti CCM lazima ang'oke. Kwahiyo hoja hapa sio Lissu kushinda bali CCM kung'oka.
 
Hivi kwenye kutangaza matokeo ya uchaguzi mawakala au wagombea huwa wanashiriki au NEC pekee?
 
Hata wewe unaeshabikia ushindi wa CCM huamini. Watu waliokosa furaha na imani wana hulka ya ubishi.

Hawa ndio wawakilishi waliochaguliwa na wananchi, wananchi wanaipenda sana CCM, sasa nchi yetu inaenda kuwa kama Ulaya
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Katika watu wanaumia katika haya matokeo ni huyu Askofu wangu! Maana yeye alishajichagulia upande toka siku nyingi sana.
Karibia viongozi wengi wa dini walichagua upande
 
Watanzania wanaipenda sana CCM ndio maana wapo majumbani wanafurahia ushindi wa CCM kwa amani. Kinyume na hapo wangekuwa mabarabarani wanaandamana.
Ndiyo maana wengi wao maskini wamejaa stress za maisha tu, wanabaki kutuombaomba hela kila siku. Stupid country stupid people, no wonder wanachukuliwa advantage, ukishatambua flani ni vilaza unawafanya unachojisikia wanasema ndiyo mzee, wakileta ubishi kidogo unaenda kanisani kujifanya mtu wa mungu ukirudi wanakutukuza, shenzi. December ifike mapema niruke zangu states niwaache kwenye hiki choo mnachoita nchi.
 
Askofu asibadili msimamo wake kama yule wa Kawe na Mwenge, askofu aendelee kutetea ukweli asijiingize kwenye unafiki Mungu hadhihakiwi
 
Wengine tunaamini na kufurahia
 

Tulionya tukapuuzwa, Laana ya Dr. Slaa ni kali
 
Hata wewe uliyeandika huamini na mimi nayesoma huu ujumbe wako siamini
 
FURAHA hakuna, na watu wapo kifungoni, upatikanaji wa mitandao ni shiiidaπŸ™„
 
That's gross bro.[emoji23][emoji23]
 
Askofu anatoa maneno matupu ya misamiati, CCM ishashinda kwa kishindooo, askofu endelea kutoa maneno zaidi na zaidi, CCM INATOA VITENDO ZAIDI
Swali ni kwamba kwa nini mmeshinda lakini bado hamuamini kama mmeshida! Kwa nini watu wote walioshinda walioshindwa wamepoteza furaha au wewe unaishi nje ya nchi huyaoni hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…