GE2025 Askofu Chinyon'gole awahimizi wanawake kujitokeza kupiga kura

GE2025 Askofu Chinyon'gole awahimizi wanawake kujitokeza kupiga kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Shinyanga, Johnson Chinyong'ole, amewataka wanawake kutambua kuwa kura zao ni turufu ya ushindi kwa vyama vya siasa, hivyo wana nafasi ya kuchagua viongozi bora watakaowaletea maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano.

Askofu Chinyong'ole ameyasema hayo katika kongamano la Usharika wa Mama wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Shinyanga (UMAKI), llililofanyika katika Kanisa la Anglikana Bariadi mkoani Simiyu ambapo 8amewahamasisha wanawake kujitokeza na kufanya uchaguzi sahihi kwa maendeleo ya Taifa.
 
Back
Top Bottom