Askofu Dkt. Bagonza amshukia Lugola kwa kumfananisha Magufuli na Yesu. Asema hii laana lazima itafune mtu na Taifa

I swear I wish ningekua navuta bangi
 
Ww ushawahi kushambulia ccm
 
[emoji3]
 
Hilo ligola sijui lugola ni jizi kubwa hivyo limesha soma udhaifu wa sizonje kuwa anapenda mapambio, anajua kabisa kuwa amefanya kosa hivyo ameamua kujilipua kumfurahisha mkulu.
 
Wapuuzi sana, wananikera

Siku moja askofu Munga alijaribu tu kuwaonya mkambagaza na maneno ya hovyo wakati mnajuwa huyo ni member wenu itakuwa CCM kumshukia askofu mwanachama wa chadema?
Tulieni munga anajijua madhaifu aliyonayo, na kama hajui basi mungu anayajua
Akafanye toba mungu atamfunulia tu.
 
Baba askofu amenikumbusha habari ya Salman Rushdie, pole sana Baba askofu kwa baadhi ya kebehi uzipatazo.Lakini katika tawala zote fedhuri kuanzia enzi na enzi bado sauti ziliazo NYIKANI zilibaki.Ninachijifunza hapa ni:

1.Ama kuna anguko kama taifa,
2.Ama kuna anguko laja kwa taasisi kubwa iliyojengwa kwa miaka mingi.
3.Ama kuna anguko la kikundi Fulani cha watu

Yanayotokea sasa nafikiri hayajawahi tokea tangu MISINGI ya Taifa hili lilipoasisiwa.
 

Mkuu, marehemu Rwakatare aliacha uaskofu akaja kupambana kama mwana siasa?

Rejea kumbuku kumbuku zako tafadhali kujiridhisha kama ziko sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…