Askofu Dkt. Bagonza amshukia Lugola kwa kumfananisha Magufuli na Yesu. Asema hii laana lazima itafune mtu na Taifa

Shida ya Mzee wangu Bagonza amejaa chuki, Chuki Imemjaa hata kwenye vitu vidogovidogo tu.
Hakuna kitu kikubwa kisichoundwa na vitu vidogo vidogo vingi... KAMA WEWE UNAONA NI SAWA YESU KRISTO KUFANANISHWA KAMA ALIVYOFANYA LUGOLA, and yeti ukaita vitu vidogo... ujuwe haba na haba hujaza kibaba... mdharau mwiba mguu huota tende.. HAYA.. mwenye masikio na asikie
 
Mkuu wetu anatumiaga madhabahu za dini kutamka mambo ya siasa... Hajawahi acha uraisi na akawa Askofu au Paroko.. Mama Rwakatale, alikuwa askofu na mmbunge... Msigwa ni mchungaji na wakati huo huo mbunge... Mkuu wa mkoa wa Dar alishalia mara kadhaa kwenye madhabahu za makanisa tofauti... Hivi viongozi wa dini wasipokemea mabaya yanayotokea unadhani ndo kutochanganya siasa na dini...?
 
Mkuu mimi na wewe hatuna shida kwenye kuelewana, ebu twende sawa na hii ndio statement ya Kangi Juzi '' Rais Magufuli ni kama Yesu'', hakuna mahala ambapo lugola amasema moja kwa moja kwamba Rais Magufuli ni Yesu, amesema ni "KAMA",hilo neno kama halijamaanisha kwamba Rais Magufuli anafikia uwezo wa kuwa Yesu Masiah.... niko tayari kurekebishwa mkuu.... Asalam Aleikum
 
Unatatizo pahari hasa kwenye ubongo, sio bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeambiwa, tatizo ni kufafanisha, na si kuwa YESU.... Uwezo wa YESU unaufananisha na wa Magufuli...!!! Ndo anarekebishwa kwa kupewa madhara yaliyotokana na maneno kama hayo au yanayofanana na hayo... APOKEE KUREKEBISHWA...

Wakati vitabu vya ndugu zetu waislamu vinafanyiwa yale yasiyofaa kwa mujibu wa imani yao, HAPAKUWA NA MUDA WA KUREKEBISHA... kulivunjika amani na wote tunajua
 
Mungu (Yesu) hafananishwi.
 
Huyu ana laana maana anamtumia Yesu nyuma ya siasa. Hana tofauti na hicho anacholalamikia.
Ukristo ni matendo. Utu wema, kiasi, upole, uchaMungu, haki, kusaidia wenye shida, kuchukia maovu. Magufuli kayafanya.
 
Kuongopa nn, muulize lijuakali na msukuma kingi walikuwa wapi siku ya tukio utalipata jibu
Mimi nimeuliza kuhusu uongo na neno la mungu kama ulivyosema
Sijasemea lijualikali na msukuma walikuwa wapi?
Vijana muwe mnatunia akili kwanza.
Ungetakiwa kuthuibitisha kuwa mbowe hakuongopa kwa kuweka ushahidi hapa
Kama ifuatavyo.
1, Hakuwa amelewa
2,Usiku huo alikuwa anatoka wapi?
3,Na kabla ya kufika kwake alikuwa na nani?
4,Kama alipigwa hapo kwake, kwa nini hakumwambia kijana wake?
5,Kwa nini ahakuwambia majirani wake?
6,Kwa nini alipelekwa kwa mukya badala ya police? Na mengine mengi
 
Kwahiyo magufuli kujiita mungu- mtu ni halali?
Una laana wewe sio bure
Huyo mzee bangoza anazeeka vibaya.
Askofu bagonza chuki inamuumiza kifua, atakuja afe kifo cha maumivu makari sana sababu ya chuki.

Jambo hili nidogo sana kulitolea povu jingi kiasi chakufananisha na matukio aliyoyataja.
Nimalangapi watu wanamuona mungu kupitua natendo ya watu??

Huyu mzee ninamashaka na uaskofu wake, huyu atakuwa shetani ndani yakundi la malaika watakatifu.
 

Kama , ku 1 hutumika kujulisha mithili au mfanano wa kitu ,jambo au Mtu mmoja kwa kulinganishwa na mwingine;mithili ,mfano,sawasawa

Hiyo ndio tafsiri halisi ya Neno Kama ,twambie sasa kwa Lugola kumfananisha Mh Rais na Yesu je ni sahihi !?.
 
Mnamuonea yesu kwasabu wakristo ni wapole watakaa kimya! mumfananishe na Mtume Muhammad cha moto mkione!
 

Kuna mtu aliwahi kusema kuwa huyu mzee alikuwa anaishi marekani, baada ya kurudi kwenye hilo kanisa akatoa rushwa kwa viongozi wa kanisa na kumfitinisha askofu aliyekuwapo kisha akapewa yeye hiyo nafasi, tena akawa na tuhuma ya kutembea na wake za watu kama si waumini wake
Kwa hiyo ana mapungufu makubwa,
Na mtu aliyeseam hayo ni mtu wa huko kwake anakoongoza hilo kanisa.
Kama alitubu akasamehewa basi asijifanye kuwa mtakatifu yeye na kuona kibanzi machoni mwa wengine wakati yeye analo liboriti mwilini mwake.
 
Kama , ku 1 hutumika kujulisha mithili au mfanano wa kitu ,jambo au Mtu mmoja kwa kulinganishwa na mwingine;mithili ,mfano,sawasawa

Hiyo ndio tafsiri halisi ya Neno Kama ,twambie sasa kwa Lugola kumfananisha Mh Rais na Yesu je ni sahihi !?.
Kwa kumaliza mzizi wa fitina ni kwamba hakuna mtu aliemfananisha Magufuli na YESU, maana hakua wa kufanana na YESU MASIAH.
 
Huyu ana laana maana anamtumia Yesu nyuma ya siasa. Hana tofauti na hicho anacholalamikia.
Ukristo ni matendo. Utu wema, kiasi, upole, uchaMungu, haki, kusaidia wenye shida, kuchukia maovu. Magufuli kayafanya.

Kwenye Red ,umeona makosa ya Askofu kwa sababu kakosoa kwa fact na haukuona makosa hayo hayo kwa Lugola kisa ame msifia Mtukufu wako wa Nchi.

Kwenye Blue ikiwa una ufahamu ktk Ukristo hakuna Binadamu alie kamilika mbele za Mungu ,uliwezaje/umewezaje kuushuhudia huo ukamilifu wa Mh Magufuli kuwa sawa ktk hayo !?..

Usifikiri hatuna kumbukumbu sahihi juu ya hatua alizo wahi kuchukua wakati wa tetemeko na na ile Ajali ya Luck Vicent iliyo chukua Watoto wetu (R.I.P.).
 
Shida ya Mzee wangu Bagonza amejaa chuki, Chuki Imemjaa hata kwenye vitu vidogovidogo tu.
Chuki ipi? Alilo lifanya Lugola nisahihi? Hivi kweli kwa ufahamu wako wote hadi leo hii na umri ulionao nisahihi kumfananisha Binadamu wa leo na mitume? Tuache masihara na ushabiki wakijinga. Mungu hadhihakiwi. Tukemee huu upuuzi wa wanasiasa njaaaaaaaaaa.
 
Kwa kumaliza mzizi wa fitina ni kwamba hakuna mtu aliemfananisha Magufuli na YESU, maana hakua wa kufanana na YESU MASIAH.

Mwanzo ulikuwa una tetea kitu gani na sasa unasema nini ..!!
 
We unaongea kwa hisia. Wenzio tunaongea kwa kuona. Yaani unatumia hearsays.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…