Mkuu hauna mama kwa maana haukuzaliwa na MAMA ambae ni Mwanamke au hauna MAMA ambae ni Mwanamke katika muktadha upi?Mkuu mi sina mama..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hauna mama kwa maana haukuzaliwa na MAMA ambae ni Mwanamke au hauna MAMA ambae ni Mwanamke katika muktadha upi?Mkuu mi sina mama..
Hapo chuki iko wapi! Au wewe ndo unayo chuki juu yake?Shida ya Mzee wangu Bagonza amejaa chuki, Chuki Imemjaa hata kwenye vitu vidogovidogo tu.
Nae mwanadamu aliyevimbiwa Kodi za wananchi kupewa sifa ya Mungu ni kufuruMungu ametuumba kwa sura na mfano wake hivyo binadamu anamwakilisha mungu na ukimpenda binadamu umempenda MUNGU
Hivyo ufananisho yesu ni Mungu kwa mantiki ya kiteolojia isipokuwa ukiongeza maneno mengine yenye mrengo wa kushusha heshima yaMungu
Rais alishawahi kusema siku akifika mbinguni atakua kiongozi wa malaika, sasa unajuaje kama hafurahii hizi sifa na utukufu anazopewa na wafuasi wake?!Kusifia kupo, hata mm nasifia sana tu na napenda kusifiwa pia ila kwa kiasi na kutufanya kufuru. Lugola anafanya kufuru, hapo ndio tunasema anafanya upuuzi, na Mh. Rais hapendi hilo kabisa, mm na wana dunia kibao tunaona makuu Mh. Rais anayofanyia nchi yetu, ni kweli anafanya kazi kubwa sana, na tunasifu kwa sana ila sio kukufuru, eg kumlinganisha Mh. Rais na Yesu, hapa hapanaa, na ni kufuru Lugola kafanya, Lugola anaonyesha ujinga wake uliopitiliza mara nyingi wazi wazi.. Bado kasamehewa kwa kosa kubwa, badala afunge mdomo wake uliokosa hekima anaendelea kujichafua bila kujua, naelewa Askofu Bogonza hampendi Mh. Rais, ila kwa hili mm nasimamia ukweli, Lugola kakufuru
Sasa Jimbo halitafutwi hivyo! Kange kakosea Sana!! Ni vizuri Rais Magufuli akakataa hadharani kufananishwa na Yesu!!Kweli kiongozi mkubwa wa kidini askofu. Kuna Mambo ya wanasiasa wanajitafutia laana wenyewe. Kwanza Magufuli hajamtuma huyo kenge. Kaamua mwenyewe kukufuru hakutumwa anatafuta Jimbo tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
1.Kwa Magufuli kwa sawa na Yesu ni sahihi?Shida ya Mzee wangu Bagonza amejaa chuki, Chuki Imemjaa hata kwenye vitu vidogovidogo tu.
Nakuunga mkono mbinguni kwetu kange afute kauli au Magufuli akemee hili Jambo. Yesu ni Mungu.Sasa Jimbo halitafutwi hivyo! Kange kakosea Sana!! Ni vizuri Rais Magufuli akakataa hadharani kufananishwa na Yesu!!
Sifa alizo nazo rais Magufuli zinamtosha na ni nyingi Sana!! Naunga mkono kuongezewa awamu mbili zaidi Kama special case!! Lakini sifa ya kufananishwa na Yesu hapana!! Namwomba Kange afute kauli yake, ni uchawi huo!!
Laana i juu yako, maana kuunga mkono lugola nawe umemfananisha mwanaadam na mungu.Shida ya Mzee wangu Bagonza amejaa chuki, Chuki Imemjaa hata kwenye vitu vidogovidogo tu.
Mbona hajamkemea?Kweli kiongozi mkubwa wa kidini askofu. Kuna Mambo ya wanasiasa wanajitafutia laana wenyewe. Kwanza Magufuli hajamtuma huyo kenge. Kaamua mwenyewe kukufuru hakutumwa anatafuta Jimbo tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakemea wangapi? Hawa wanaojikomba wanasoma humu wabadilike ni watu wazima/wazee kabisa.Mbona hajamkemea?
Mbona alisema akifika mbinguni akabidhiwe kundi la malaika aliongoze!
Hii ndiyo kazi ya kiongozi wa dini.Bagonza anafikili anaweza kuchukua nafasi ya mungu? Hawezi ku finally hukumu ya mungu kwa binadamu hata siku moja, pia akumbuke kuna watu wanaitwa yesu hapa duniani kwa maana hiyo hao hawatasamehewa kwa vile wamejiita jina la yesu?
Pia lazima ajue mfano sio lazima iwe kitu halisi,
Ujuaji anaotaka kujifanya anao Bagonza unamuondolea hadhi ya kuwa Askofu.
Kuna wanasiasa wanasema uongo na anajuwa wanasema uongo na wengine ni waumini wake mbona hatujaona andiko kuwakemea ili waache uongo kwa kuwa vitabu vya dini vinasema usimsemee mtu uongo, pia uongo ni zaidi ya mchawi, sasa hilo halijui?
Mapenzi yake kisiasa hayamzuii kuacha uaskofu ili aje apambane kama mwanasiasa kwa kuwa yeye hatakuwa wa kwanza, kuna Dr slaa, kuna marehem rwakatale kuna msigwa na wengine wengi.
Yeye anashambulia upande wa CCM tu je huko Upinzani ni watakatifu?
Maaskofu wa hivi laana zao watazibeba wenyewe maana mungu anaiona mioyo yao inavyohangaika na maovu wanayowaza kika siku.
Bagonza ajitathimini.
Shida ya Mzee wangu Bagonza amejaa chuki, Chuki Imemjaa hata kwenye vitu vidogovidogo tu.
Bagonza anafikili anaweza kuchukua nafasi ya mungu? Hawezi ku finally hukumu ya mungu kwa binadamu hata siku moja, pia akumbuke kuna watu wanaitwa yesu hapa duniani kwa maana hiyo hao hawatasamehewa kwa vile wamejiita jina la yesu?
Pia lazima ajue mfano sio lazima iwe kitu halisi,
Ujuaji anaotaka kujifanya anao Bagonza unamuondolea hadhi ya kuwa Askofu.
Kuna wanasiasa wanasema uongo na anajuwa wanasema uongo na wengine ni waumini wake mbona hatujaona andiko kuwakemea ili waache uongo kwa kuwa vitabu vya dini vinasema usimsemee mtu uongo, pia uongo ni zaidi ya mchawi, sasa hilo halijui?
Mapenzi yake kisiasa hayamzuii kuacha uaskofu ili aje apambane kama mwanasiasa kwa kuwa yeye hatakuwa wa kwanza, kuna Dr slaa, kuna marehem rwakatale kuna msigwa na wengine wengi.
Yeye anashambulia upande wa CCM tu je huko Upinzani ni watakatifu?
Maaskofu wa hivi laana zao watazibeba wenyewe maana mungu anaiona mioyo yao inavyohangaika na maovu wanayowaza kika siku.
Bagonza ajitathimini.
kwamba Utatu mtakatifu ni ulisukwa na wajanja? kwahiyo unamaanisha wanao amini hivyo nao ni wajanja? pili umesema magufuli anaikomboa tanzania kutoka muikono ya mafisadi ? ebu toa ufafanuzi maana mkuu wa nchi tulipo Pata uhuru alikuwa nyerere.akamkabidhi Mwinyi,naye akamkabidhi Mkapa, naye akamkabidhi Kikwete.Jee kumbe hao wali kuwa mafisadi?Utatu mtakatifu ni mambo yaliyosukwa tu na wajanja! Kamwe huwezi kumgawa Mungu eti nafsi tatu!! Najibu swali! Alimlinganisha JPM na Yesu (nabii) kwa kuwa amejitoa mhanga kama Yesu alivyoteseka ili kuukomboa ulimwengu. Anaikomboa Tz kutoka mikononi mwa mafisadi. Ni hatari kwake ila amejitoa mhanga.
pole sana ndugu, Nahisi hujui chochote kuhusu imani ya ukristo!Shida ya Mzee wangu Bagonza amejaa chuki, Chuki Imemjaa hata kwenye vitu vidogovidogo tu.
Hii ndiyo kazi ya kiongozi wa dini.
Kama wewe umezoea kulamba makalio, huwezi fahamu kazi ya kiongozi wa kiroho