Askofu Dkt. Bagonza: Kumnyamazisha anayekemea wizi wa kura ni kujitangaza kuwa mwizi

Askofu Dkt. Bagonza: Kumnyamazisha anayekemea wizi wa kura ni kujitangaza kuwa mwizi

Kuna wanasiasa lakini hawaijui siasa. Wanaitwa wanasiasa kwa sababu wako kwenye nafasi za Kisiasa. Kuna watu si wanasiasa lakini wanaijua siasa. Hawako kwenye nafasi za Kisiasa lakini ni watu muhimu katika kuboresha maisha ya Kisiasa kwa sababu wanaijua siasa...
Good thinking
 
Hahahaaaa.Hongera kwa hoja nzito
 
Juz kuna wale viwavi wa dini walioitisha press eti wakimuonya lisu asihatarishe amani ya nchi, what a shame!

Wameuawa watu wengi nchi ktk awamu hii kuanzia akina azory, mawazo, saa8 na wengine hawajulikani mpaka leo hawa viwavi walikuwa wamejifungia kanisani na misikitini wakila pilau na sadaka za waumini

Kuna wakati kanisa na msikiti vilihamia ikulu muda wote wapo huko na jiwe waki mconfort mungu wao.

Leo lisu anapambana na mahera kibaraka wa ccm anayetaka kuharibu uchaguzi hawa viwavi wanaanza kupiga ukunga,

Kama wameshimdwa kuombea na kukemea maovu ya ccm wakae pembeni kwani nao kwenye msafara wa magu wa kuelekea uholanzi yalipo makao makuu. Ya ICC nao watakuwa abiria kwenye ndege moja.
 
Kuna watu MUNGU amewapa akili Hadi wanakera yaani huyu bishop amebarikiwa na kipawa kikubwa Sana....

Nimejikuta kama nasoma zaburi na mithali
 
Kuna wanasiasa lakini hawaijui siasa. Wanaitwa wanasiasa kwa sababu wako kwenye nafasi za Kisiasa. Kuna watu si wanasiasa lakini wanaijua siasa. Hawako kwenye nafasi za Kisiasa lakini ni watu muhimu katika kuboresha maisha ya Kisiasa kwa sababu wanaijua siasa...
Kuna viongozi wa dini wssiokuwa na Imani na dini hiyo Kama Bagonza, aliyemuachia kanisa shetani kipindi Cha Corona!
Wewe hangaika na akina Lisu, kuku ya mwisho utaulizwa
 
Asante Bishop, natamani uandike japo sasa wengi wavivu kusoma ama urekodi video clip fupi mada mtambuka kusaidia jamii yetu na dunia.
 
.....Wagombea jifunze "kufungia mbwa wenu" maana hawana faini ya kulipa.
....
 
Haka ka askofu ni kanazi ka chadema hakana tofauti na kina Gwajima!

Naomba nisaidieni kukauliza kama kwenye dayosisi yake corona imeisha?

Kataumia sana haka siku Lisu anapigwa chini kwenye uchaguzi.
 
Back
Top Bottom