Askofu Dkt. Bagonza: Kuna watu wanataka kuirudisha nchini kwenye mfumo wa Chama kimoja

Black Butterfly

Senior Member
Joined
Aug 31, 2022
Posts
130
Reaction score
368

"Ninaona na ninaamini mchakato ule wa maridhiano umetekwa, siwezi kusema Rais ndiye ameuteka kwa sababu yeye ndiye aliyeuanzisha ila ninahisi kuna nguvu nyingine tusiyoiona ambayo imeteka mchakato ule wa maridhiano na kutaka kulirudisha taifa letu katika sintofamu"- Dkt. Bagonza.

Dkt. Benson Bagonza ambaye ni Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Karagwe akizungumza na kituo cha habari cha Busokelo TV hivi karibuni hasa baada ya viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wanachama wa chama hicho, wanaharakati na wanahabari kukamatwa na Jeshi la Polisi maeneo mbalimbali ya Tanzania.
 
View attachment 3069670

muelezeni askofu ajue kwamba hata kama nchi inafuata mfumo wa vyama vingi,

chama kimoja ndio hutawala 🐒
 
Attachments

  • Screenshot_2024-08-10-17-16-41-1.png
    Screenshot_2024-08-10-17-16-41-1.png
    441.6 KB · Views: 7
View attachment 3069670
"Ninaona na ninaamini mchakato ule wa maridhiano umetekwa, siwezi kusema Rais ndiye ameuteka kwa sababu yeye ndiye aliyeuanzisha ila ninahisi kuna nguvu nyingine tusiyoiona ambayo imeteka mchakato ule wa maridhiano na kutaka kulirudisha taifa letu katika sintofamu"- Dkt. Bagonza.

Dkt. Benson Bagonza ambaye ni Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Karagwe akizungumza na kituo cha habari cha Busokelo TV hivi karibuni hasa baada ya viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wanachama wa chama hicho, wanaharakati na wanahabari kukamatwa na Jeshi la Polisi maeneo mbalimbali ya Tanzania.
Aache kuuma maneno , aseme Samia Hasan na wenzake wa CCM wanataka kuifanya Tanzania ni ya Chama kimoja cha Majizi.
 
Kuna Serikali za Mseto pia kwenye Mfumo wa Vyama vingi.
mpka zitokee pia, na hata hivyo lazima zinaongozwa na chama kimoja wapo kikubwa miongni mwa vyama vya siasa mahalia 🐒
 
muelezeni askofu ajue kwamba hata kama nchi inafuata mfumo wa vyama vingi,

chama kimoja ndio hutawala 🐒
Tatizo hujamuelewa, chama kimoja means katiba haikuandaliwa ku accept vyama vingi. Sheria za kawaida yes but katiba haikubadilishwa is why its seems chama kimoja kina hodhi kila kitu. Which is not right aunder nchi ambayo inajidai ina mfumo wa vyama vingi
 
Nchi hii tayari ipo kwenye mfumo wa chama kimoja tangu mwaka 2020 na ilirudishwa na dikteta Magufuli.
Hata kabla yake Tanzania imekuwa chini ya mfumo wa chama kimoja.
 
Nchi hii tayari ipo kwenye mfumo wa chama kimoja tangu mwaka 2020 na ilirudishwa na dikteta Magufuli.
Magufuli hayupo!!! Mnaye Rais mshaurini na atende ipasavyo!!

Anaharibu mwingine wewe unakimbilia kumlaumu asiyeona, asiyesikia na asiyeweza kujitetea.
 
View attachment 3069670
"Ninaona na ninaamini mchakato ule wa maridhiano umetekwa, siwezi kusema Rais ndiye ameuteka kwa sababu yeye ndiye aliyeuanzisha ila ninahisi kuna nguvu nyingine tusiyoiona ambayo imeteka mchakato ule wa maridhiano na kutaka kulirudisha taifa letu katika sintofamu"- Dkt. Bagonza.

Dkt. Benson Bagonza ambaye ni Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Karagwe akizungumza na kituo cha habari cha Busokelo TV hivi karibuni hasa baada ya viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wanachama wa chama hicho, wanaharakati na wanahabari kukamatwa na Jeshi la Polisi maeneo mbalimbali ya Tanzania.
Walutheri ndiyo wasahau kabisa kuongoza nchi hii ya kipagani inayoongozwa na Muislam kwa sasa.
 
Back
Top Bottom