Askofu Dkt. Bagonza: Kuna watu wanataka kuirudisha nchini kwenye mfumo wa Chama kimoja

Askofu Dkt. Bagonza: Kuna watu wanataka kuirudisha nchini kwenye mfumo wa Chama kimoja

Nchi hii tayari ipo kwenye mfumo wa chama kimoja tangu mwaka 2020 na ilirudishwa na dikteta Magufuli.
Kabla ya Magufuli Chadema iliwahi kushika dola si ndio !? Na kama Magufuli aliirudisha nchi hii kwenye mfumo wa Chama kimoja mnangoja nn kuirudisha kwenye mfumo wa vyama vingi !? Hii nchi hamtakaa muendelee kamwee
 
Unaufahamu wowote kuhusu DEMOKRASIA WEWE? Unaongeleaje serikali ya shirikisho? Nategemea wewe ndio u substantiate hili jambo hapa
ungemuuliza askofu sasa anae ng'ang"ana chama kimoja kama anafahamu kuna hilo unalo hoji :pulpTRAVOLTA:
 
Tatizo hujamuelewa, chama kimoja means katiba haikuandaliwa ku accept vyama vingi. Sheria za kawaida yes but katiba haikubadilishwa is why its seems chama kimoja kina hodhi kila kitu. Which is not right aunder nchi ambayo inajidai ina mfumo wa vyama vingi
mbona muhashamu baba askofu hajaeleza hivyo? :pulpTRAVOLTA:
 
View attachment 3069670
"Ninaona na ninaamini mchakato ule wa maridhiano umetekwa, siwezi kusema Rais ndiye ameuteka kwa sababu yeye ndiye aliyeuanzisha ila ninahisi kuna nguvu nyingine tusiyoiona ambayo imeteka mchakato ule wa maridhiano na kutaka kulirudisha taifa letu katika sintofamu"- Dkt. Bagonza.

Dkt. Benson Bagonza ambaye ni Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Karagwe akizungumza na kituo cha habari cha Busokelo TV hivi karibuni hasa baada ya viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wanachama wa chama hicho, wanaharakati na wanahabari kukamatwa na Jeshi la Polisi maeneo mbalimbali ya Tanzania.
Askofu anasema serikali inaifanya Chadema tu ndio inasikika kila siku.

Anasema waliosherehekea siku kuu ya vijana ni Ccm na ACT lakini Ndani na Nje ya Nchi wanaosikika ni Chadema tu.

Wasiturudishe kwenye chama kimoja
 
Askofu Bagonza ni Level nyingine wewe baking kwenye Uchawa wa mitandaoni.
actually,
na mimi ni level nyingine pia, ambae sibabaiki na mwingine kwa chochote, namwaga ukweli wa mambo daima, bila mbambamba yoyote :pulpTRAVOLTA:
 
actually,
na mimi ni level nyingine pia, ambae sibabaiki na mwingine kwa chochote, namwaga ukweli wa mambo daima, bila mbambamba yoyote :pulpTRAVOLTA:
Hakuna Chawa ambaye ni Level nyingine kushinda Lumumba kutupiwa makombo?!
 
Magufuli hayupo!!! Mnaye Rais mshaurini na atende ipasavyo!!

Anaharibu mwingine wewe unakimbilia kumlaumu asiyeona, asiyesikia na asiyeweza kujitetea.
Sasa kama yeye ndiye aliyetusababishia kadhia hii tumuache kisa hayupo duniani mkuu?
 
Tangu lini mtu asiye na uelewa, akawa mwalimu??
ni kwa faida ya alie tayari kuongeza uelewa na ufahamu wake katika masuala mbalimbali kijamii, kisiasa na kiuchumi hakika atafaidika, na washupaza shingo hawalazimishwi kufanya hivyo :pulpTRAVOLTA:
 
View attachment 3069670
"Ninaona na ninaamini mchakato ule wa maridhiano umetekwa, siwezi kusema Rais ndiye ameuteka kwa sababu yeye ndiye aliyeuanzisha ila ninahisi kuna nguvu nyingine tusiyoiona ambayo imeteka mchakato ule wa maridhiano na kutaka kulirudisha taifa letu katika sintofamu"- Dkt. Bagonza.

Dkt. Benson Bagonza ambaye ni Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Karagwe akizungumza na kituo cha habari cha Busokelo TV hivi karibuni hasa baada ya viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wanachama wa chama hicho, wanaharakati na wanahabari kukamatwa na Jeshi la Polisi maeneo mbalimbali ya Tanzania.
Huyu Askofu ana akili sana
 
Back
Top Bottom