Askofu Dkt. Bagonza: Kuna watu wanataka kuirudisha nchini kwenye mfumo wa Chama kimoja

Nchi hii tayari ipo kwenye mfumo wa chama kimoja tangu mwaka 2020 na ilirudishwa na dikteta Magufuli.
Kabla ya Magufuli Chadema iliwahi kushika dola si ndio !? Na kama Magufuli aliirudisha nchi hii kwenye mfumo wa Chama kimoja mnangoja nn kuirudisha kwenye mfumo wa vyama vingi !? Hii nchi hamtakaa muendelee kamwee
 
Unaufahamu wowote kuhusu DEMOKRASIA WEWE? Unaongeleaje serikali ya shirikisho? Nategemea wewe ndio u substantiate hili jambo hapa
ungemuuliza askofu sasa anae ng'ang"ana chama kimoja kama anafahamu kuna hilo unalo hoji
 
mbona muhashamu baba askofu hajaeleza hivyo?
 
Askofu anasema serikali inaifanya Chadema tu ndio inasikika kila siku.

Anasema waliosherehekea siku kuu ya vijana ni Ccm na ACT lakini Ndani na Nje ya Nchi wanaosikika ni Chadema tu.

Wasiturudishe kwenye chama kimoja
 
Askofu Bagonza ni Level nyingine wewe baking kwenye Uchawa wa mitandaoni.
actually,
na mimi ni level nyingine pia, ambae sibabaiki na mwingine kwa chochote, namwaga ukweli wa mambo daima, bila mbambamba yoyote
 
actually,
na mimi ni level nyingine pia, ambae sibabaiki na mwingine kwa chochote, namwaga ukweli wa mambo daima, bila mbambamba yoyote
Hakuna Chawa ambaye ni Level nyingine kushinda Lumumba kutupiwa makombo?!
 
Magufuli hayupo!!! Mnaye Rais mshaurini na atende ipasavyo!!

Anaharibu mwingine wewe unakimbilia kumlaumu asiyeona, asiyesikia na asiyeweza kujitetea.
Sasa kama yeye ndiye aliyetusababishia kadhia hii tumuache kisa hayupo duniani mkuu?
 
Tangu lini mtu asiye na uelewa, akawa mwalimu??
ni kwa faida ya alie tayari kuongeza uelewa na ufahamu wake katika masuala mbalimbali kijamii, kisiasa na kiuchumi hakika atafaidika, na washupaza shingo hawalazimishwi kufanya hivyo
 
Huyu Askofu ana akili sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…