Pre GE2025 Askofu Dkt. Benson Bagonza aimiminia sifa na pongezi Serikali ya Rais Samia kwa kutekeleza Miradi ya Maendeleo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Acha mara moja kutumia Baba Askofu kwenye uchawa wako.
Ndugu zangu watanzania,

Haya ni maneno ya Mtumishi wa Mungu Askofu Dkt Benson Bagonza

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

====

Askofu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe, Dk Benson Bagonza ameipongeza serikali kwa kuhakikisha inarudisha kodi za wananchi kwa kutekeleza miradi ya kisasa ya barabara.

Dk. Bagoza ametoa pongezi hizo leo katika uzinduzi wa barabara ya lami yenye mita 700 Kishao Lukajange ambapo amesema serikali imeendelea kuwa na uaminifu wa kukusanya fedha za wananchi na kuzirudisha katika jamii kwa kutekeleza miradi imara ikiwemo barabara nzuri.

Pia soma: Askofu Mkuu Kanisa la AICT atoa tamko Mpina kufukuzwa bungeni

Amesema barabara hiyo ambayo inaelekea katika makao makuu ya Dayosisi ya Karagwe imekuwa kiunganishi kikubwa kati ya wananchi na waumini na kuondoa vikwazo kwa wanachi ambao zamani walishindwa kuhudhuria ibada kwa kisingizio cha matope.

Habari Leo
 
..kweli.

..lakini Ccm / Serikali kufanya sherehe, na kulazimisha shukrani, kwa ajili ya barabara ya mita 700, si uungwana.
si lazima kutoa shukran gentleman,

na wala hayupo alie lazimishwa kushukuru popote kwa lolote :NoGodNo:
 
Kupitia comments naziona wazi hasira Kali walizonazo washindwa maandamano ya jana.......wanatukana haooooo🤣🤣🤣🤣
 
Ndugu zangu watanzania,

Haya ni maneno ya Mtumishi wa Mungu Askofu Dkt Benson Bagonza

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

====

Askofu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe, Dk Benson Bagonza ameipongeza serikali kwa kuhakikisha inarudisha kodi za wananchi kwa kutekeleza miradi ya kisasa ya barabara.

Dk. Bagoza ametoa pongezi hizo leo katika uzinduzi wa barabara ya lami yenye mita 700 Kishao Lukajange ambapo amesema serikali imeendelea kuwa na uaminifu wa kukusanya fedha za wananchi na kuzirudisha katika jamii kwa kutekeleza miradi imara ikiwemo barabara nzuri.

Pia soma: Askofu Mkuu Kanisa la AICT atoa tamko Mpina kufukuzwa bungeni

Amesema barabara hiyo ambayo inaelekea katika makao makuu ya Dayosisi ya Karagwe imekuwa kiunganishi kikubwa kati ya wananchi na waumini na kuondoa vikwazo kwa wanachi ambao zamani walishindwa kuhudhuria ibada kwa kisingizio cha matope.

Habari Leo
Shahawa nyingine heri zingemwagwa nje tu
 
MITA 700
 
Back
Top Bottom