Askofu Dkt. Benson Bagoza aikubali Filamu ya Royal Tour

Askofu Dkt. Benson Bagoza aikubali Filamu ya Royal Tour

Zito alisema watanzania tuna uwezo Mdogo sana wa kujenga hoja hapa ndo nazidi kuthibitisha kauli yake
 
  • Thanks
Reactions: Tui
View attachment 2195321


Hongera na asante Baba Askofu Dkt Benson Bagonza kwa kuamua kusimama na Rais wako aliye mnyenyekevu,
===
Askofu wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Benson Bagonza akizungumzia filamu ya The Royal Tour Jumatatu ya Aprili 18, 2022 na Rais Samia Suluhu Hassan nchini Marekani
Yere yere!!!!!!
 
Back
Top Bottom