Askofu Dkt. Benson Bagoza aikubali Filamu ya Royal Tour

Nani alikwambia kila kitu CHADEMA wanapinga?
Mmmh! Sina neno na hiyo filamu Wala huyo mtumishi ila neno lako limeniamsha ghafla usingizini, Chadema inawezekana hua hata wanapinga wazazi walio wazaa kua siyo wao... Hilo hua ni kundi la wahuni wahuni tu mapuuzi
 
Wahuni ni CCM sababu ya kupiga pesa za umma bure
 
Wapi Lisu ameipinga?
Yeye kaulizia mapato ya amazon tunafaidikaje
Acha kukariri

Anauliza mapato kama nani? Yaani watu wapange,waexecute ifanikiwe uje kuhoji ulikuwa wapi stage zote za mwanzo?
 
View attachment 2195321

Hongera na asante Baba Askofu Dkt Benson Bagonza kwa kuamua kusimama na Rais wako aliye mnyenyekevu,
===
Askofu wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Benson Bagonza akizungumzia filamu ya The Royal Tour Jumatatu ya Aprili 18, 2022 na Rais Samia Suluhu Hassan nchini Marekani

Royal Tour sio ya Chama ni ya nchi! Sasa Chadema wamekuja vipi hapa? Tamko la Chadema ni lipi liweke hapa. Mawazo ya watu binafsi sio ya chama
 
View attachment 2195321

Hongera na asante Baba Askofu Dkt Benson Bagonza kwa kuamua kusimama na Rais wako aliye mnyenyekevu,
===
Askofu wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Benson Bagonza akizungumzia filamu ya The Royal Tour Jumatatu ya Aprili 18, 2022 na Rais Samia Suluhu Hassan nchini Marekani

Kwani Askofu Bagonza ndio msemaji wa Chadema? He is entitled to his own views like all of us!!
 
Back
Top Bottom