Johnson Fundi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,386
- 1,207
yaani ndugu yangu, kuna watu wengine wana shida kubwa kwenye oblangata zao!!!, ROYAL TOUR inataka kusiasishwa na CHADEMA,!!!. WHAT A SHAME IS HAPPENING AMONG US!!!???!!!Nani alikwambia kila kitu CHADEMA wanapinga?
CCM imejaa vichaa tupuyaani ndugu yangu, kuna watu wengine wana shida kubwa kwenye oblangata zao!!!, ROYAL TOUR inataka kusiasishwa na CHADEMA,!!!. WHAT A SHAME IS HAPPENING AMONG US!!!???!!!
Mmmh! Sina neno na hiyo filamu Wala huyo mtumishi ila neno lako limeniamsha ghafla usingizini, Chadema inawezekana hua hata wanapinga wazazi walio wazaa kua siyo wao... Hilo hua ni kundi la wahuni wahuni tu mapuuziNani alikwambia kila kitu CHADEMA wanapinga?
Wahuni ni CCM sababu ya kupiga pesa za umma bureMmmh! Sina neno na hiyo filamu Wala huyo mtumishi ila neno lako limeniamsha ghafla usingizini, Chadema inawezekana hua hata wanapinga wazazi walio wazaa kua siyo wao... Hilo hua ni kundi la wahuni wahuni tu mapuuzi
Duniani hakuna chama cha watu wezi kama CHADEMAWahuni ni CCM sababu ya kupiga pesa za umma bure
Wanaiba kwenye nini wanakusanya kodi? umewahi kuona CHADEMA wanafanyia vikao kwenye ofisi za umma?Duniani hakuna chama cha watu wezi kama CHADEMA
😀😀😀Ninaijua CHADEMA" IN OUT"Wanaiba kwenye nini wanakusanya kodi? umewahi kuona CHADEMA wanafanyia vikao kwenye ofisi za umma?
Sawa Bashite😀😀😀Ninaijua CHADEMA" IN OUT"
Wapi Lisu ameipinga?
Yeye kaulizia mapato ya amazon tunafaidikaje
Acha kukariri
Hiyo ndiyo approach mliyoanzishiwa na mr #dishlimetilt, na nyie huwa mnaifuata bila hata kuchanganya na zenu bwashee.Nani alikwambia kila kitu CHADEMA wanapinga?
Sawa sisterHiyo ndiyo approach mliyoanzishiwa na mr #dishlimetilt, na nyie huwa mnaifuata bila hata kuchanganya na zenu bwashee.
Kama mlipa kodi anayo haki ya kuulizaAnauliza mapato kama nani? Yaani watu wapange,waexecute ifanikiwe uje kuhoji ulikuwa wapi stage zote za mwanzo?
Safi SanaView attachment 2195321
Hongera na asante Baba Askofu Dkt Benson Bagonza kwa kuamua kusimama na Rais wako aliye mnyenyekevu,
===
Askofu wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Benson Bagonza akizungumzia filamu ya The Royal Tour Jumatatu ya Aprili 18, 2022 na Rais Samia Suluhu Hassan nchini Marekani
View attachment 2195321