Bora wangeweka wazi tumuombee uenda maombi yetu yangemponyaWatu wengine walishaacha kufikiri kabisa. Ugonjwa wa Rais ni siri? Kumwambia mtu naumwa kuna tatizo gani? Au unaumwa nini cha ajabu mpaka unaficha? Kama una magonjwa ya ajabu ajabu maybe. Otherwise binadamu yeyote anaumwa tu kama kawaida.
Ni kweli na haki. Nani kati yao ni mwongo: Wao au PM?Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoielekeza kwenye mamlaka za nchi kuwaombea msamaha watu kadhaa waliokamatwa kwa kuzusha uongo mitandaoni kwamba Rais Magufuli ni mgonjwa...
Moderator anapaswa kutuhurumia , ni kweli tunaomboleza lakini tunaumia mno machoNaona giza kwenye screen yangu
Mwambie labda atakusikilizaModerator anapaswa kutuhurumia , ni kweli tunaomboleza lakini tunaumia mno macho
Bado wakae kidogo..Jana ilisambaa habari kua mlinzi wa JPM amekufa nae..Leo nimemuona kwa macho yangu, kwa nchi zetu hizi free speech should not be absolute.kama hujawahi kuzushiwa anything especially kifo huwezi kuelewaHii ndio Taarifa yake mpya aliyoielekeza kwenye mamlaka za nchi kuwaombea msamaha watu kadhaa waliokamatwa kwa kuzusha uongo mitandaoni kwamba Rais Magufuli ni mgonjwa....
Aisee wapo kada zingine (RC,DC!)zilitumia Mamlaka zao kufitini na kuonea!Moja ya vitu vya kufyekelea mbali ni Police wa sasa walikua wanajipendekeza sana kwa Rais aliyepita,wengi wameonewa mikononi mwa police
Basi uende ukamkamate Askofu shoo.Kwani hao wazushi ambao askofu anawaombea msamaha NI wajomba zake? Sasa nimeelewa kumbe askofu alishirikiana na hao wazushi kutangaza habari ambayo hawakupaswa kutangaza Bali Kuna mamlaka iliyopaswa kutangaza na si hao vijana wa askofu shoo.
Kifo nacho mngekifanya siri.Ok hata kama ni kweli kwa nini awaombee msamaha wazushi tu na sio wafungwa wote au mahabusu wote au mashehe wa uamsho kwa nini kawaombea msamaha wazushi tu?....
aiseeee !!Basi uende ukamkamate Askofu shoo.