Askofu Dkt. Shoo aomba waliokamatwa kwa kumsingizia ugonjwa Dkt. Magufuli waachiwe ili tuomboleze nao pamoja

Askofu Dkt. Shoo aomba waliokamatwa kwa kumsingizia ugonjwa Dkt. Magufuli waachiwe ili tuomboleze nao pamoja

Watu wengine walishaacha kufikiri kabisa. Ugonjwa wa Rais ni siri? Kumwambia mtu naumwa kuna tatizo gani? Au unaumwa nini cha ajabu mpaka unaficha? Kama una magonjwa ya ajabu ajabu maybe. Otherwise binadamu yeyote anaumwa tu kama kawaida.
Bora wangeweka wazi tumuombee uenda maombi yetu yangemponya
 
Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoielekeza kwenye mamlaka za nchi kuwaombea msamaha watu kadhaa waliokamatwa kwa kuzusha uongo mitandaoni kwamba Rais Magufuli ni mgonjwa...
Ni kweli na haki. Nani kati yao ni mwongo: Wao au PM?
 
Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoielekeza kwenye mamlaka za nchi kuwaombea msamaha watu kadhaa waliokamatwa kwa kuzusha uongo mitandaoni kwamba Rais Magufuli ni mgonjwa....
Bado wakae kidogo..Jana ilisambaa habari kua mlinzi wa JPM amekufa nae..Leo nimemuona kwa macho yangu, kwa nchi zetu hizi free speech should not be absolute.kama hujawahi kuzushiwa anything especially kifo huwezi kuelewa
 
Moja ya vitu vya kufyekelea mbali ni Police wa sasa walikua wanajipendekeza sana kwa Rais aliyepita,wengi wameonewa mikononi mwa police
Aisee wapo kada zingine (RC,DC!)zilitumia Mamlaka zao kufitini na kuonea!
Na wahanga ni wanaume waliohifadhiwa magerezani kusubiri uchunguzi usioisha!!(Kutakatisha fedha,uhujumu uchumi,n.k)
 
Indeed
JamiiForums-1366907387.jpg
 
Kwani hao wazushi ambao askofu anawaombea msamaha NI wajomba zake? Sasa nimeelewa kumbe askofu alishirikiana na hao wazushi kutangaza habari ambayo hawakupaswa kutangaza Bali Kuna mamlaka iliyopaswa kutangaza na si hao vijana wa askofu shoo.
Basi uende ukamkamate Askofu shoo.
 
Tunaomba kufahamu wale wananchi waliokuwa wanajadili kwenye mitandao ya kijamii kuhusu afya ya Hayati Magufuli na kuangukia mikononi mwa jeshi la polisi kama wameachiwa huru au lah!

Iliripotiwa kuwa wananchi huko Iringa, Tanga, Dar wamekamatwa na jeshi la polisi wakiposti mitandaoni
afya ya Hayati Magufuli

Kama walisema Magufuli anaumwa na kukamatwa na mwishowe ikadhibitika ni kweli na hadi mauti,je kuna cha kujibu mahakamani?
 
Back
Top Bottom