Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Dkt. Fredrick Shoo, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), amesisitiza umuhimu wa mabadiliko ya sheria za uchaguzi kwa ajili ya chaguzi nchini Tanzania.
Akizungumza katika mkutano wa kuwasilisha maoni ya CCT kuhusu miswada mbalimbali, Dk. Shoo alieleza kuwa mabadiliko haya ni muhimu kwa ajili ya umoja wa kitaifa.
"Ni muhimu sana kuhakikisha kuwa amani, haki, na maridhiano yanaheshimiwa katika mchakato huu. Tunampongeza Rais Samia kwa kutambua umuhimu wa suala hili" - alisisitiza Dkt. Shoo.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Katiba na Sheria imekuwa ikikusanya maoni kutoka kwa wadau mbalimbali, tangu wiki iliyopita.
Soma, Pia:
• Askofu Dkt. Shoo: Wananchi chagueni Viongozi wenye hofu ya Mungu, ukichagua kiongozi mbovu dhambi ni zako wewe uliyemchagua