chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Ni vyema sasa Askofu Shoo akatoka na kufafanua hili.
Ukifuatilia YouTube, Wana Konde wanaidai kwamba mzizi wa mgogoro ni fedha hizo, na wanadai askofu "mchaga" anatumika kuficha waliozifuja.
Kuna nini katika fedha hizo? Maana ni vizuri akajisafisha kwamba hakuzila Hela hizo, na kama alizila eti ndio maana Yuko katika harakati za kuwafukuza wanaozifuatilia.
Eti pia mnashinikiza hotel ya kanisa Matema beach iuzwe, Wana Konde wanakataa, mmepata mteja?
Hebu Shoo aweke suala hili sawa