Ndio shida ya wale wezi machomakubwa na miguu myembamba kama spokuYaani, sijui uchaga wa askofu umewafanya wahisi kala mpunga, lakini unaweza kukuta wanachukua Hela za taasisi wanawapa Chadema, Siasa ikizidi ni ugonjwa
Hii issue nilikuwa naidharau kumbe ni nzito kiasi hiki asee 😐!.Dr Shoo Malasusa amekuingiza chakike, umetoa maamuzi ya hovyo mwenzio Ameupigwa mwingi
UongoNi vyema sasa Askofu Shoo akatoka na kufafanua hili.
Ukifuatilia YouTube, Wana Konde wanaidai kwamba mzizi wa mgogoro ni fedha hizo, na wanadai askofu "mchaga" anatumika kuficha waliozifuja.
Kuna nini katika fedha hizo? Maana ni vizuri akajisafisha kwamba hakuzila Hela hizo, na kama alizila eti ndio maana Yuko katika harakati za kuwafukuza wanaozifuatilia.
Eti pia mnashinikiza hotel ya kanisa Matema beach iuzwe, Wana Konde wanakataa, mmepata mteja?
Hebu Shoo aweke suala hili sawa
Nakwambia wacha uongo, clip za Youtube ndo ushahidi wako? Usikubali kutenda dhambi pasi na sababuPitia clips YouTube, usikurupuke
Nyie watu wa Mwaikali tulieni!Ni vyema sasa Askofu Shoo akatoka na kufafanua hili.