Askofu Dkt. Shoo, Wana KKKT wa Konde wanasema fedha zao bilioni 2 za kujenga chuo kikuu ndizo zimekutoa Kilimanjaro kwenda kumfukuza askofu wao

Mwailali alijitengenezea kundi lake kama jiwe SASA LINAMTETEA NA KUMSIFU. Siku sii nyingi anaanzisha kanisa kama kakobe gwajboy na mwingira.
 
Mkuu Mwaikali hakukupa nyaraka ili tuthibitishe tuhuma zako?
 
Yaani, sijui uchaga wa askofu umewafanya wahisi kala mpunga, lakini unaweza kukuta wanachukua Hela za taasisi wanawapa Chadema, Siasa ikizidi ni ugonjwa
Kwa mvurugiko huo kabla haujachelewa, wahitaji kupata ushauri wa daktari wa afya ya akili, HARAKA.
 
Andiko lako lilikuwa zuri Ila limekuwa la kinyoko ulivyokazania "mchaga"!Very stupid ubaguzi!
 
Nikajua Konde boy!
 

😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂,

Huu ni mtihani mzuri sana kwa sisi tunaopenda kukemea na kutoa miongozo
 
Duh, Mwaikali wamemng'oa ? Kwa hio kiti kimerudi Tukuyu? Afadhari Kama mgogoro umeisha.
 
Viongozi wote wa dini wanaonesha kinyume na matendo ya viongozi wa serikali..


Nadhani muwe makini na huu mchezo..
 
Huu mgogoro pande zote zinazo husika katika kuupatia utatuzi zina mapungufu yake ambayo hazitaki kuyakubali na kuyarekebisha. Bahati mbaya zimeamua kuchukua njia ya kujitetea kama ya wale Watoto wa Mzee Yakobo/Israeli waliomfanyia hiyana ndugu yao Yusufu na kumuuza Misri. Wakati ndoto za Yusufu zilizo mponza zilipotimia unabii wake zilidhihirisha na kuweka wazi ile dhuluma ndugu zake waliofanyia na kuonesha jinsi gani wale ndugu zake 10 walivyokuwa na ulaghai ulio mhujumu ndugu yao. Ndivyo ilivyo kwa baadhi ya hawa watumishi wa Kiroho huwa wanafanya mambo na kuongea kama vile hamna waumini na watumishi wenzao wanaojua mapungufu yao yanayo iharibu kazi ya Mungu.
Mwanzo 42:6-22- Niwa kweli sisi×3
 
hela mwana haramu,zilimfanya Yuda Eskariote kumkana Yesu
 
Uongo

Acheni uzandiki

Acheni kuchafua Viongozi wa Kabisa mkajichumia dhambi za kuwaharibia maisha yenu
Ngoja atujibu mwenyewe anayesingiziwa. Maana Mtaani ndizo zinzovuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…