Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Yeye ndio kipimo cha ubora wa mambo au ni ulevi wa madaraka?Mambo ya ajabu ajabu hataki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye ndio kipimo cha ubora wa mambo au ni ulevi wa madaraka?Mambo ya ajabu ajabu hataki
Hapo kwenye dhambi ni zake ameteleza, alitakiwa kusema atakayeiba kura, familia yake iwe matatani.Askofu Dr Bagonza amewataka Wananchi wote wakajiandikishe kupiga Kura Ili wapate fursa ya kuchagua Viongozi wanaowapenda
" Nendeni mkajiandikishe Kupiga Kura Ili kama kuna Wezi wa Kura wapate cha kuiba" amesema baba Askofu
" Wakiiba kura Dhambi ni za kwao Lakini wewe utakuwa umetimiza wajibu wako mbele ya Mungu wa Mbinguni" amesisitiza Mtumishi huyu wa Mungu
" Wasipoiba Kura na Mgombea uliyemchagua akashinda basi utakuwa na Furaha ya Kuongozwa na Kiongozi halali mbele ya Mungu wa Mbinguni na mbele ya Wanadamu na Unayempenda" amemalizia Askofu Dr Bagonza wa KKKT
Ahsanteni sana 😄🌹
Family inahusikaje?! 🐼Hapo kwenye dhambi ni zake ameteleza, alitakiwa kusema atakayeiba kura, familia yake iwe matatani.
Ukikamatwa na sanduku la kura za wizi utajua family yako inahusikajeFamily inahusikaje?! 🐼
In man voice "wacha wee"Wacha weee 😂😂😂