Moja ya Ma Askofu ambao Nina uhakika kabisa ili yeye alone Mbingu ni lazima kwanza Atubu na kusaga meno ni MALASUSA , na asipofanya hivo huyo ni Moyoni tu sawa na wezi wengine !!
Huyu Askofu kua Askofu Mkuu kulitumika zengwe kubwa sana lilojaa Matendo yasokua ya haki .
Msishangae ni kwann Anapata kigugumizi Cha kutaja neno HAKI , ni Kwa sababu anajua Moyoni mwake anafanaja na ambao walimweka hapo.