Askofu Stephen Munga amesema Tanzania Ilikuwepo kabla ya Magufuri (Rais) na itakuwepo baada yake. Tanzania si mali ya mtu yeyote yule ni mali ya Mungu muumbaji wa mbingu na nchi. Hongera baba Askofu kwa maono yako. Moods naomba kwa kuwa ndio mara yangu ya kwanza kuanzisha uzi please usiunganishwe na uzi mwingine asante.
Sasa kusema Tanzania ilikuwepo kabla ya rais Magufuri kakosea wapi? Kimekuuma nini? Basi tukukwambie unayopenda kusikia haya Tanzania haikuwepo kabla ya Magufuri yeye ndio kaileta Tanzania hapo naona ndio utafurahi.Kwahiyo wewe ni miongoni mwa watu wanaowaburuza watu wengine kwa minyororo?Kila mwanadamu anafahamu hilo, wote ni wapita njia. Moods ndio nani hao? Huyo askofi yeye hakuikuta Tanzania? Pumba juu ya pumba. Hawa ndio wanafikiri matatizo yao binafsi yanasababishwa na wengine. Maendeleo ya Tanzania hayawezi kucheleweshwa na watu wachache tutawaburuza tu hata kwa minyororo. Hapa Kazi Tu!
Tanzania imezaliwa mwaka 1964, sijui huyu Magufuli kazaliwa mwaka gani, pia Tanzania haijawahi kutawaliwa wala haina siku ya Uhuru.Askofu Stephen Munga amesema Tanzania Ilikuwepo kabla ya Magufuri (Rais) na itakuwepo baada yake. Tanzania si mali ya mtu yeyote yule ni mali ya Mungu muumbaji wa mbingu na nchi. Hongera baba Askofu kwa maono yako. Moods naomba kwa kuwa ndio mara yangu ya kwanza kuanzisha uzi please usiunganishwe na uzi mwingine asante.
Hujasoma hata post yenyewe umeshacomment, huu ni umbumbumbu wa hali ya juu sana. Hata hivyo sina mashaka kuwa msimu wako utapita kama wengine pia walivyopita
The praise singer singing his master's voice...... inafurahisha sana mnavyomuona Pengo mbaya eti kwasababu tu anaonekana kuegemea upande wa serikali, eti kukosa maarifa, my friend wewe mwenyewe hayo maarifa huna!, na huyo Munga nae hana, hekima ina_dictate kukaa kimya au amtafute Pengo privately aongee nae, sio kila siku kukimbilia mitandaoni, atavuna anachopanda. Kumbe na yule anayepinga kila siku yuko upande wa upinzani!, poor reasoning may lead to social distraction, msimfunge Pengo mdomo kwa kumtaka azungumze mnayotaka nyie, kwani hao kina Munga wenu hawatoshi kukemea kama mnavyotaka nyie?, mpk na Askofu Pengo awasaidie ndio mridhike!
....Askofu Pengo ana haki ya kutoa maoni yake kwasababu hajavunja sheria za nchi, sio huyo Munga anayesema Askofu Pengo eti amepitiliza kusifia!, what is this?, yeye ana hicho kipimo cha kusifia tuone Pengo amezidi sentimeta ngapi?!, aache tabia ya kujificha halafu anakurupuka tu anapoona wengine wametoa maoni yao yasiyompendeza yeye!. Kama Pengo alisifia, mwambieni na yeye siku nyingine awepo kwenye hiyo mikutano apinge tumuone, sio kila siku nilikuwa bize, nilikuwa bize, huu ndio Unafiki uliopitiliza.
... Aisee mjifunze kuheshimu maoni ya wengine nyie, sio kujidai walimu wa kila mtu, mnachosha sasa!, akaongee na Makonda chumbani kwasababu gani haswa, unadharau hujielewi, tena bahati yenu hao wengine huwa hawajibu, hao kwangu ndio wastaarabu!
Amen.
Mkuu, hawa watu 2015 walijiapiza makanisani kwao kwamba ilikuwa zamu ya mtu wao. Bado hawaamini kama wapigakura walio wengi tuliukataa utapeli wao...... inafurahisha sana mnavyomuona Pengo mbaya eti kwasababu tu anaonekana kuegemea upande wa serikali, eti kukosa maarifa, my friend wewe mwenyewe hayo maarifa huna!, na huyo Munga nae hana, hekima ina_dictate kukaa kimya au amtafute Pengo privately aongee nae, sio kila siku kukimbilia mitandaoni, atavuna anachopanda. Kumbe na yule anayepinga kila siku yuko upande wa upinzani!, poor reasoning may lead to social distraction, msimfunge Pengo mdomo kwa kumtaka azungumze mnayotaka nyie, kwani hao kina Munga wenu hawatoshi kukemea kama mnavyotaka nyie?, mpk na Askofu Pengo awasaidie ndio mridhike!

Unataka ajipendekeze kama wwAskofu Munga amepoteza mwelekeo
sasa Hajui ashike lipi kati ya dini na siasa

..... nini mantiki ya haya maelezo yako yote?!, kwamba Askofu Pengo ana support u_ dikteta!, kama unavyoona Pengo anaongea pumba, hata wewe nakuona unavyoongea pumba zaidi, coz sijamuona dikteta tz wakumfananisha na mussolin au hitler, so still wewe bado ni mpumbavu!jd41,
Msikilize Pengo wako akiongea pumba hapa...!!
Mtu mwenywew anakiri kabisa He is too old to capture things...!!
Anazungumzia UDIKTETA analinganisha HITLER na MUSSOLINI na MAGUFULI....Non-sense.
Hitler kills 6 millions of Jews while Mussolin likewise was the originator of the WW-2(1939-1945) whereby millions of innocent civilians were killed all over the world.Dikteta ni dikteta tu hakuna dikteta mwema wala mzuri hata akijenga hata ghorofa za kupeleka watu peponi. Pengo anasema Mussolini alisadia kuondoa Malaria nchini Italy...!!So what? Malaria iliua wangapi na Vita Kuu ya 2 ya dunia iliua wangapi?
Pengo kama kawaida anashabikia Maendeleo ya Watu lakini hagusi Maumivu na hali ngumu wanazopitia Wapinzani na Raia wa kawaida. Kwa Pengo vyama pinzani kunyanyaswa na kuteswa, hali ngumu za raia ni sawa tu bora Magufuli aendelee kutawala na kunyanyasa watu. Kwa akili ya Pengo Watz wanaopotezwa na watu wasiojulikana au kushambuliwa kwa risasi kama issue ya Lissu siyo tatizo.....!!!Kwa mtu mwenye hofu ya Mungu hata kupotea kwa NAFSI moja anatakiwa ALIE na KUUGUA kwa nafsi hiyo kupotezwa....!!!
Soma hii kidogo kuhusu Hitler na Musssolini::
On 12 September 1943 Mussolini was rescued from captivity in the Gran Sasso raid by German paratroopers and Waffen-SS commandos led by Major Otto-Harald Mors. Adolf Hitler, after meeting with the rescued former dictator, then put Mussolini in charge of a puppet regime in northern Italy, the Italian Social Republic (Italian: Repubblica Sociale Italiana, RSI),[12] informally known as the Salò Republic. In late April 1945, in the wake of near total defeat, Mussolini and his mistress Clara Petacci attempted to flee to Switzerland,[13] but both were captured by Italian communist partisans and summarily executed by firing squad on 28 April 1945 near Lake Como. His body was then taken to Milan, where it was hung upside down at a service station to publicly confirm his demise.
......what are you doing then!The praise singer singing his master's voice.
..... mnapenda kila mtu aongee mnachotaka nyie wendawazimu, akiongea tofauti hafai, mko selfish balaa, never thought before!, hiyo kanuni yako fake sijui umejifunza,coz hakuna mwanadamu mwenye midomo miwili,au masikio mawili, mkue sasa, mjue kuna kutofautiana mitazamo!Idiot is you...!!
Kwa akili yako unaona ukiruhusiwa kuongea maadamu una mdomo basi una weza kubwabwaja anything...!!
Kuna kanuni moja ya Mdomo na Masikio. Kwamba tumepewa mdomo 1 ili TUONGEE kidogo sana lakini tumepewa Masikio 2 ili tuwe WASIKILIZAJI zaidi kulikko kuongea...!!