Anamuonya kama nani yeye, ajionye mwenyewe kwa kushindwa kuhudumia watu wamtii mungu badala yake amekuwa mtu wa kuhangaika na mitandao, hao ndo uzao wa kibweterere, kama anahisi siasa na uongozi ni mzuri aingie kwenye game maaa ana haki. Kila kutwa yeye na vimafumbo utafikili yupo uswaz mambo ya kanga. Kama anahisi anamonyo amfate muhusika wazungumze sio kila siku kuandika mitandaoni, ni kukosa maadili ya dini.kwa hiyo anatafuta huruma gani kwenye mitandao, au ndo kuzibuka? Tumechoka nae. Ushauli ni kwamba awafate wahusika awaonye huko waliko sio mitandaoni.