wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,597
- 29,527
Bila shaka wewe utakuwa unatoa mbwa yaani hata hujui kilichosemwa una coment ili uonekane na wewe uko on line
Askofu Munga amepoteza mwelekeo
sasa Hajui ashike lipi kati ya dini na siasa