Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,867
Hakuna busara hapo.Ni kweli mkuu umetumia busara sana ku judge hapa
Hakuna busara hapo.Ni kweli mkuu umetumia busara sana ku judge hapa
Wew unakunwa maana huna lolote ni upuuzi mtupuVuvu zela askofu wenu anayewashwa
Huyo Kawe Alumni ni ule mchepuko wa Bashite yaani namzungumzia Cocoa Channel.Yes State agent na Kawe, haya ni mageni au ni new IDs! Yana hamu kweli ya mbegu
Kwani anawajibu kwa kutumia mawazo ya nani?Mhashamu Baba Askofu Munga unavizia wengine waseme kwanza ndio uwajibu? Huna mawazo yako binafsi?
Askofu Dr Stephen Munga amuonya Kadinali Pengo
Sawa boss! That's how yuh really are, kwa bahati mbaya kuna kipindi watu wa aina yako walianza kujiaminisha wanaweza kuongoza nchi.Acha kupingana na mantiki. Basics za lugha kwako ni sifuri. Ndo nyie ukimuonà mtu amevaa miwan bas amebukua sana. Hoja ya msingi ni kupata maudhui sio keywords
Basi sawa!Kwani anawajibu kwa kutumia mawazo ya nani?
Hayo majibu ndiyo mawazo yake binafsi. Au unadhani ameazima/kakopa kwa mtu mwingine?
Ha wote washalamba shavuAkina Ritz akina sumu walikuwepo aisee
Walipiga Sana tarumbeta wakisifu na kuabudu MIUNGU watu
Leo hatuwaoni tena humu hahahaha
Huyu jamaa achana naye,mwezi mchanga.Hujasoma hata post yenyewe umeshacomment, huu ni umbumbumbu wa hali ya juu sana. Hata hivyo sina mashaka kuwa msimu wako utapita kama wengine pia walivyopita
Afadhali umenisadia kumwelewesha kama ataelewa. Yeye anakazana na keywords kama vile ameambiwa aandike insha.Acha kupingana na mantiki. Basics za lugha kwako ni sifuri. Ndo nyie ukimuonà mtu amevaa miwan bas amebukua sana. Hoja ya msingi ni kupata maudhui sio keywords
nimetoka kapa!Cocoa Channel.
Anakunwa askofu wenu kila siku kwenye media na anasubiria wenzie wasemeWew unakunwa maana huna lolote ni upuuzi mtupu
Umeandika kiswahili, siyo kwa lugha ya kwenu ambayo huenda nisingeielewa. Kama unadhani maji yanasaidia kuelewa kunywa wewe yakusaidie kuelewa nilichoandika.Wasi wasi wangu hata hunaelewa chochote kwenye hiyo comment. Kunywa maji, then soma upya Tena taratibu!
Kwani Pengo ana cheo gani kinachomzidi huyo Munga wa KKKT!Kama Askofu Munga anaona kunyamaza pia ni Hekima, kwa nini yeye hanyamazi kihele hele kila kukicha. Kwanza hana hadhi ya kumjibu Kardinali Pengo maana huyo si level yake
Hongera kwa huyo Askofu wa KKKT. Mwasisi wa kanisa lake alipingana na Kanisa la Kardinali Pengo. Huyo Mwasisi anaitwa Dr. Martin Luther. Hivyo huyu Askofu anasimamia alichokiamini mwasisi wa kanisa lake. Alisimama kidete kwamba anayepaswa kuabudiwa ni Mungu tu na siyo mwanadamu na kwamba Kanisa lisimame kwenye NENO la Mungu siyo vinginevyo.Aya yote yanatoka wapi tatizo letu sisi watanzania tunapenda kusikiliza kile tunachopenda kusikia
Kifupi kila mtu ana haki ya kusema ama kutoa mawazo yake binafsi sio kazi yako wewe unayeyapokea haya mawazo kulazimisha yanane na ya kwako
Sikubaliani sana rafu za kisiasa zinazofanywa na CCM ila tujenge utamaduni wa kuheshimu mawazo ya watu wengine japo hayatupendezi
Kusema sema huku na kutuma nyaraka ndefu kwenye mitandao ya kijamii hazisaidii simameni kwenye mimbari muwafunze waamini wenu otherwise kinachofanyika sasa ni kutaka umaarufu tu
Ahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!! Nafikiri huyu askofu angetekwa. Wamechoka kumwaga damu za wasio na hatia kwa amri ya JIWEHivi siku hizi kile kikosi cha kuteka kimepatwa na nini?
Hakiteki kwa wingi
Uko sawa mkuu, hii kasoro wengi hatujaiona.Lugha ya Kiswahili si ngumu kivile. Askofu Mung hawezi KUMUONYA Kardinali Pengo. Mtu anayemuonya mtu mwingine ni yule tu ambaye ana uwezo wa kufanya jambo (kuadhibu kwa mfano) endapo yule anayeonywa hata sikiliza au akikaidi 'onyo' lile.
Askofu Munga si mkuu wa Pengo kwa namna yeyote. Neno sahihi hapa ni kuwa Munga "amuasa" au "amshauri". Tusitengeneze milima kwenye vichuguu.
Watu wamemgeuza JIWE kuwa Mungu wao kabisa. Nashangaa maeneo na maeneo hata kabla ya kuanza hotuba wananyanyua kwanza picha ya huyu mungu wao, ndipo sasa waanze kuhutubia mkutanoKwani Pengo ana cheo gani kinachomzidi huyo Munga wa KKKT!
Soma post #185 ya Mzee Mwanakijiji.Amuonye yeye kama nani? Askofu uchwara mkubwa!