dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,534
Hii inapingaje ukweli wa alichoandika?
Munga ana hasira sana na serikali mkewe alikua mkuu wa chuo na master yake then PhD holders wakawa lecturers wa kawaida. TCU wakatishia kufunga chuo ikamlazmu mkewe kukaa kando. Hasira zake kwa serikali hazitakuja isha maana maslahi ya familia yake yaliguswa