wa mchangani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,418
- 951
Ndo tatizo la fixed mind,ungesoma na ukaelewa akili yako isingekubali kusema uliyosemaAskofu Munga amepoteza mwelekeo
sasa Hajui ashike lipi kati ya dini na siasa
Ndo tatizo la fixed mind,ungesoma na ukaelewa akili yako isingekubali kusema uliyosemaAskofu Munga amepoteza mwelekeo
sasa Hajui ashike lipi kati ya dini na siasa
Hekima ya Roma na kanisa katoliki hatajibiwa kwenye majukwaa au Vyombo vya habariKumbe ndo maana kakosa maadili ya dini ya kushauri kwa staha yeye kahamia mitandaoni kutafuta uungwaji wa wananchi? Aludie maadili ya jinsi ya kuwashauli watawala kama mungu alivyosema, akishindwa ndo aje huku tena ayaseme kanisani kwake sio mitandaoni, kwa kuwa hao serikari wanasali humo kanisani mwake na pia wahalifu nao wamo. Wakiokoka kila kitu kitakuwa sawa.
Ukisema hana hadhi ya kumjibu pengo unamaanisha nn, tambua kwamba mbele ya Mungu wote tuko sawaKama Askofu Munga anaona kunyamaza pia ni Hekima, kwa nini yeye hanyamazi kihele hele kila kukicha. Kwanza hana hadhi ya kumjibu Kardinali Pengo maana huyo si level yake
Vipi hao wanaosifia wanaogopa kuhojiwa uraia wao,au makandokando yao ya upigaji kupitia misamaha ya kodi
Lazima atambe mitandaoni maana ili awe askofu lazima apigiwe kura hivyo lazima atangaze Sera. Wakiiahachaguliwa wengi hua wanabadili katiba wanakua maaskofu wa kudumuAnamuonya kama nani yeye, ajionye mwenyewe kwa kushindwa kuhudumia watu wamtii mungu badala yake amekuwa mtu wa kuhangaika na mitandao, hao ndo uzao wa kibweterere, kama anahisi siasa na uongozi ni mzuri aingie kwenye game maaa ana haki. Kila kutwa yeye na vimafumbo utafikili yupo uswaz mambo ya kanga. Kama anahisi anamonyo amfate muhusika wazungumze sio kila siku kuandika mitandaoni, ni kukosa maadili ya dini.kwa hiyo anatafuta huruma gani kwenye mitandao, au ndo kuzibuka? Tumechoka nae. Ushauli ni kwamba awafate wahusika awaonye huko waliko sio mitandaoni.
Hahahahahhahaa imenibidi nicheke tu, haya bhana, hakuna shida!! uwe na wakati mwema.Wewe kigori VP kumuita mtu dogo wakati humfahamu ni kielelezo cha ujinga na sonona ilikomaa
Siku ukivunja ungo ndio utafahamu mm ni zaidi yako
State agent
Walishiondwa kazi, kuitetea CCM ni lazima uwe mwendawazimu, sidhani kama anamfahamu Lizaboni huyu state agent na mwenzie Kawe Alumni huyo lizaboni alikua anapost kila sekunde lakini alikuja kaishiwa pumziKweli kabisa hivi akina Lizabon walikwenda wapi
Walishiondwa kazi, kuitetea CCM ni lazima uwe mwendawazimu, sidhani kama anamfahamu Lizaboni huyu state agent na mwenzie Kawe Alumni huyo lizaboni alikua anapost kila sekunde lakini alikuja kaishiwa pumzi
Alisikika mwehu mmoja akisema.Munga anatumikia tumbo lake mambo ya Mungu alishayaacha kitambo
State agent
Ritz, CHAMVIGA Malaria Sugu Lizaboni @assaadsiria na wale chawa wengine, sasa huy state agent anakuja na pumba zake anajitutumua humu hahahaa watu tuna miaka kumi humu ndani na tuko online 24/7Bila kumsahau @Ritzi
Kweli mkuu, maana anakimbia mbio hadi anapitiliza kwao,Hujasoma hata post yenyewe umeshacomment, huu ni umbumbumbu wa hali ya juu sana. Hata hivyo sina mashaka kuwa msimu wako utapita kama wengine pia walivyopita
Tulia dawa ikuingie.Munga ni nani hadi azuie watu kutoa maoni yao ??
Tulia sindano ikuingie vizuri kunako.Kama Askofu Munga anaona kunyamaza pia ni Hekima, kwa nini yeye hanyamazi kihele hele kila kukicha. Kwanza hana hadhi ya kumjibu Kardinali Pengo maana huyo si level yake
Kuna wale kina ISIS sijui walijifia wapi walahihahaha dogo unanitahidi kupost ila nikukumbushe waliwahi kuwepo wenzio wanapost zaidi yako yaani ilikua balaa but leo hawapo, so take care, njaa mbay vidole vitaota kutu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukomredi wa Makonda labda awe Comrade Kipepe
Kwanini usigombee weweHuyo Munga agombee uraisi 2020. Kanisa limemshinda
Hapa tayari umeshapanic [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo Munga agombee uraisi 2020. Kanisa limemshinda