Askofu Dr Stephen Munga amuonya Kadinali Pengo: Kunyamaza wakati mwingine ni hekima

yanayohusiana na imani yetu ya Catholic basi.
Siku baada ya siku RC mnanifumbua macho sana. kumbe mna imani zenu ya Catholics? Pasipo Mungu wa kweli huyu askofu Pengo atawayumbisha tu, anajua anacho kifanya kutokea Vatican Subiri tu!
Zaidi utaingia mitini sinto kuona humu tena ukisema km unavosema.

Sisi Imani yetu ni ya Mungu wa Ibrahim Isack na Yakobo. the Supreme being, aliyekuwako mwanzo na mwisho, Alfa na Omega. asiye na misimamo ya Dini.

Siku atakapo kuja mwana wa Adamu kuhukumu.
Catholic watakuruka, usijitetea eti hukujua. nimeshakwambia, ushahidi huu unaenda kwa mwenyewe kiti cha enzi yaani baba Mungu.
NDUGU POLE TUBU
 
Kwa vyovyote vile Munga hana uadilifu wa kumuonya Pengo. Wanaomfahamu Munga wanatambua hilo.
 
Imani inafundishwa mkuu, nami nimefundishwa na kuelewa pasipo shaka ya kuwa imani ya kweli inafundishwa huku nilipo Catholic, na ndilo kanisa la kweli aliloanzisha mwalimu wa kwanza wa imani bwana wetu Yesu Kristo. Hayo mengine ni matawi ambayo mengi yametokana na ubishi wa kibinadamu na zaidi siku hizi vijikanisa vingi ni mashamba ya watu wanayatumia kufanya ujasiliamali ili kujipatia mkate hapa hapa dunia wala hayana connection yeyote na Christ au Mungu. Kwa maana nyingine wanatumia biblia kufanya utapeli kwa kuwahubiria wenye shida vimiujiza vya uongo. Penda usipende, Catholic ndiyo njia kuu na salama yenye kufundisha imani ya kweli ambapo ukweli wa imani unapatikana, kwingineko pamoja na hayo yote uliyosema hapo juu ni uongo mtupu. Mkuu ujachelewa bado, karibu Catholic mlango upo wazi upate kuijua imani ya kweli na ukombolewe. Karibu sana.
 
Mkuu uko sahihi kabisa, hata mimi vijikanisa sivipendi ki vile laiti ningejua uko wapi ningekuja!

kinacho niuma mimi; Roman Catholic walikuwa notorious slave Masters Ulaya kote, na hata km siyo kwa nini Pope hakukemea hii Biashara mapema zaidi, Mpaka Wlliam, W alipoingilia kati?

Kwa nini wame portray image ya mtoto wa papa Sergio Borgio? yaani nikionaga haya Makanisa/ Misikiti machozi yanabubujika sana. yalituumiza sana, mpaka leo! labda utanisaidia kukomesha hali hii.
 
Mkuu kwa unavyoandika unaonekana ni mtu anayeelewa. Hivyo hayo hayapaswi kukusumbua, yakupasa kujua hili, kwamba hapa duniani hakuna mkamilifu. Hata waKatoliki ni watu including Papa. Hivyo sikatai hoja zako, wapo wengi wanatenda dhambi hata leo hii wapo mapadri na hata maaskofu wenye kashfa nzito kama kunajisi watoto n.k. hayo yapo kwenye dini zote. Maana dini ni taasisi zimeundwa na watu hayo lazima yatokee tu lakini siyo kigezo cha kuchafuka kwa Catholic nzima. Anayechafuka ni mtu tu aliyetenda maovu, kanisa kama kanisa Catholic na mafundisho yake vinaendelea kuwa safi maana misingi yake iliwekwa na inasimamiwa na bwana Yesu.

Ndiyo maana nikakwambia hata Pengo, anayeletaleta siasa wakati yeye ni miongoni mwa viongozi wetu wa kanisa, real Catholics hawawezi kusumbuka naye watapuuza mambo yake ya siasa na kuchukua yale tu atakayotoa yahusuyo imani yetu ya Catholic. Barikiwa sana!
 
Ufupi wa clip siyo hoja, issue ni content au ujumbe uliobebwa na clip, hata kama lingekuwa neno moja au mawili tu yametamkwa yanatosha kuandikiwa stori ya urefu wowote. Kutokumaliza kusoma inaweza kuwa imetokana na uzembe wako.
Inawezekana ikawa ni uzembe wangu kweli au inawezekana ww mwenyewe umefikia mtazamo huo kutokana na ufinyu wa ufahamu wako kwa kutokuona mbadala wake (foible minded)!
Vitu vingi vilivyosheheni kwenye ulefu wa story yenyewe viko nje ya mantiki na inapelekea kutaka kushawishi visivyo shawishika! Kwangu niliona ni uzembe kuendelea kupoteza muda wangu kusoma upupu wote huo wakati yapo mambo mengi ya kufanya kuinasua nchi yangu kiuchumi!
Sina lengo la kubadili mtazamo wako, hivyo baki na mtazamo wako!
 
Kama uliona mada siyo nzuri kwako, na hivyo ukaghaili kuisoma ukuwa na haja ya kuchangia. Pia unayosema hapa si sahihi, mtu makini akatai kusoma bali anakataa kushawishika kama ushawishi wa yale aliyosoma siyo mzuri. Kutosoma kwa kisingizio eti unajenga nchi kiuchumi au eti ili usishawishike kama siyo uzembe basi ni utoto!! Hilo la mimi kuwa na ufahamu finyu halina shida sana.
 
Uzinilazimishe kusomo upupu! Mbona mtazamo wako duni ivyo ndg unashindwa wapi kuelewa?
 
Uzinilazimishe kusomo upupu! Mbona mtazamo wako duni ivyo ndg unashindwa wapi kuelewa?
Hakuna aliyekulazimisha kusoma ndg ila wewe ndiye unayeandika upupu, ueleweki kabisa. Sasa hapo nielewe nini? Kama hukusoma, ulijuaje ni upupu?!
 
Du, ww sasa, unakatisha tamaa kabisa hata kusaidiwa, endelea hivyohivyo! Ila mie sikutaka kuendelea kusoma upupu kwa hiyo sikuwa na sababu ya kumalizia upupu huo na kupoteza muda wangu!
 
Askofu Steven Munga ana upako na uwezo wa kuona mbali.
 
Hahahahaa dadeeki
Mpwa utashangaa Makonda atakavyo potea mapema katika siasa akiwa bado kijana mdogo.
Mbaya zaidi hakutumia muda wake ulimwenguni kuji associate na watu kwa wema bali kujenga uadui mkubwa mpaka wale waliokuwa wanamzunguka ataona wanavyo mgeuka.
 
Mpwa utashangaa Makonda atakavyo potea mapema katika siasa akiwa bado kijana mdogo.
Mbaya zaidi hakutumia muda wake ulimwenguni kuji associate na watu kwa wema bali kujenga uadui mkubwa mpaka wale waliokuwa wanamzunguka ataona wanavyo mgeuka.
Ajifunze kwa Bangi Lugola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…