Askofu Dr Stephen Munga amuonya Kadinali Pengo: Kunyamaza wakati mwingine ni hekima

unajua serikali ya ccm inajua sana kucheza na akili za wananchi wake.

hapa tumamuona askofu mtu wa maana kishenzi.hasira zinapoa baada ya kuona kumbe kuna watu wa kutusemea upende wetu.

na hapa ndipo mnapopigwa.
 
Munga ana hasira sana na serikali mkewe alikua mkuu wa chuo na master yake then PhD holders wakawa lecturers wa kawaida. TCU wakatishia kufunga chuo ikamlazmu mkewe kukaa kando. Hasira zake kwa serikali hazitakuja isha maana maslahi ya familia yake yaliguswa
 
Askofu nimemuelewa siongezi neno
 
Mungu akubariki Baba Askofu Dr. Munga, Hakika unaitendea haki PhD yako. Umeandika kwa weledi mkubwa bila kuyumbisha wala kumwogopa mtu.Pia uandishi na mpangilio wa hoja umesimama vilivyo hata kilaza ataelewa, Ubarikiwe sana.
 
Ahsante Askofu Munga. Mungu akubariki.

Kipindi Yesu anahudumu ktk uinjilisti wake aliwahi kusema 'Majibu yenu yawe NDIYO NDIYO ama SIYO SIYO, zaidi ya hayo yatoka kwa yule mwovu'.

Maandiko haya yanatufundisha nini? Mandiko haya yanatufundisha tuwe na msimamo mmoja tu katika maisha yetu, kitu kama sio cha haki basi useme hii sio haki. Kama ni cha haki sema ukweli kwamba hiki ni sahihi.

Yesu hakutaka yale maisha useme jambo hili sio la haki ila ............. ama jambo hili ni la haki lakini pia ............ Hayo yenye nyongeza ndio yatokayo kwa muovu.

Na hiki ndiko kinachotokea, sio kwa Askofu Pengo tu bali hata kwa watumishi wengine.

Labda nianze kusema kuwa Mtumishi wa Mungu yoyote ambae anaguswa na muendelezo wa hali ya Tanzania, atajua kabisa Taifa linaenda katika njia isiyompendeza Mungu. Uovu ni mwingi mno kuliko mema.

Kuna Mchungaji mmoja anaitwa Mgogo, alipata nafasi ya kuzungumza kwa Rais Magufuli, alivyofika pale na yeye akawa ni kama amerogwa, hakuna cha maana alichozungumza zaidi ya kumpa sifa mwanadamu badala Mungu, pia hakusema ukweli wowote juu ya uovu wa Rais Tanzania zaidi ya kusema mazuri.

Mtu muovu ni muovu, mtu wa haki ni wa haki, hakuna mtu ambae anakaa sehemu zote mbili hapo. Ni ukweli usiopingika Kanisa tuingie kwenye Toba kwa ajili ya kanisa la Taifa. Viongozi wetu dhambi wanayotenda sio jambo la kawaida, Mungu haoni kawaida japo wanadamu tunaweza kuona unafki ni kitu kidogo ila kwa Mungu ni dhambi kubwa ndani ya kanisa lake.

Mungu akubriki Askofu Munga.
 
Asante baba Askofu Munga............... tunashukuru kwa hili pia.

Ila pia bado tunakumbuka ile clip ya Gwajima alisema yote na sasa inakuwa rahisi pia kuelewa Pengo kapatwa na shida gani kati ya uzee na unang'anizi wa madaraka
Ni wachache walimpuuzia Gwajima ila leo picha inapatikana haswa kuwa Pengo ni mnafki au lah.
 
Jiwe anamzidi nani Tanzania, kwa hekima, utu, ubinadamu, huruma, utawala, uchumi etc mbon ni Rais? kuwa mkweli
Kama Askofu Munga anaona kunyamaza pia ni Hekima, kwa nini yeye hanyamazi kihele hele kila kukicha. Kwanza hana hadhi ya kumjibu Kardinali Pengo maana huyo si level yake
 
Hujasoma hata post yenyewe umeshacomment, huu ni umbumbumbu wa hali ya juu sana. Hata hivyo sina mashaka kuwa msimu wako utapita kama wengine pia walivyopita
Walikuwapo akina Ritz,Sumu,

Wote wamepita [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sembuse huyo kawe alumni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…