Uchaguzi 2020 Askofu Emaus Mwamakula, wewe ni Mtumishi wa Mungu kweli kweli!

Ulitaka awe upande wa mashetani harafu awe mtumishi wa Mungu?? Huyo automatically ni devil advocate
Hiyo ni Lugha tu mkuu, lakini utambue kuwa, Chama hakijawahi kuwa sababu ya mtu Kuokoka

Chama hakitengenezi watakatifu wewe! Chama ni mfumo na dini mpya ya shetani kuwafanya watu wachukiane na kuuwana, lakini mfumo wa Mungu ni Amani na haki
 
Anakuwa ni mtumishi wa kweli pindi tu anaposimamia upande wa Chadema siyo?

Kwa tarifa yako, Mungu anao watumishi wake ambao pengine hata hawafahamiki kabisa na Watanzania wengi

Soma agano jipya na kale lots, watu Mushi wa Mungu wa ukweli walijitokeza Siku zote na kukemea uovu! Hiyo ndo Sifa kubwa na walifahamika kwa ajioi hiyo!
 
Sawa mkuu uko Sawa, ukitaka kuwa mkamilifu kuutendea haki msimamo wako huo, Sema.... Viongozi wote wa Dini hawapaswi kuegemea upande wowote ule Kwa maana ya kujionyesha wazi kuwa nao ni wafuasi wa vyama

Embu funguka mkuu, unadhani Chadema ni Chama cha watakatifu?

Kuna uozo mpaka wa kutetea ushoga uliosababishaga sodoma na gomola kuchomwa Moto!!

Kuna mambo ya ajabu kuhamasisha wananchi kwenda kushindana na Dola!

Lakini upande wa Mungu unasema hivi, Kushindana kwetu Sisi si juu ya damu na nyama, Bali siraha zetu ni juu ya mawazo mabaya na zinauwezo wa kuangusha ngome na kila kitu kijiinuacho kuzuia kusudi la Mungu

Sasa wewe unamsifia Nani na kumhukumu Nani mkuu
 
Sipendi kubisha na au kujadili sana, mimi sijaongelea chama, nimesema ukweli.....
 
Back
Top Bottom