paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Hiyo ni Lugha tu mkuu, lakini utambue kuwa, Chama hakijawahi kuwa sababu ya mtu KuokokaUlitaka awe upande wa mashetani harafu awe mtumishi wa Mungu?? Huyo automatically ni devil advocate
Mkuu share ,kwa nini unachafua uzi wa baraka kwa vitu vya kipuuzi?Gari la mkaa vipi?
Anakuwa ni mtumishi wa kweli pindi tu anaposimamia upande wa Chadema siyo?
Kwa tarifa yako, Mungu anao watumishi wake ambao pengine hata hawafahamiki kabisa na Watanzania wengi
Anasimamia kweli, haki, amani, umoja, mshikamano, uhuru, upendo, utu wema.Anakuwa ni mtumishi wa kweli pindi tu anaposimamia upande wa Chadema siyo?
Kwa tarifa yako, Mungu anao watumishi wake ambao pengine hata hawafahamiki kabisa na Watanzania wengi
Hapo umekiri CCM ni wakala wa shetani.Hiyo ni Lugha tu mkuu, lakini utambue kuwa, Chama hakijawahi kuwa sababu ya mtu Kuokoka
Chama hakitengenezi watakatifu wewe! Chama ni mfumo na dini mpya ya shetani kuwafanya watu wachukiane na kuuwana, lakini mfumo wa Mungu ni Amani na haki
Sawa mkuu uko Sawa, ukitaka kuwa mkamilifu kuutendea haki msimamo wako huo, Sema.... Viongozi wote wa Dini hawapaswi kuegemea upande wowote ule Kwa maana ya kujionyesha wazi kuwa nao ni wafuasi wa vyamaSoma agano jipya na kale lots, watu Mushi wa Mungu wa ukweli walijitokeza Siku zote na kukemea uovu! Hiyo ndo Sifa kubwa na walifahamika kwa ajioi hiyo!
Sawa mkuu uko Sawa, ukitaka kuwa mkamilifu kuutendea haki msimamo wako huo, Sema.... Viongozi wote wa Dini hawapaswi kuegemea upande wowote ule Kwa maana ya kujionyesha wazi kuwa nao ni wafuasi wa vyama
Embu funguka mkuu, unadhani Chadema ni Chama cha watakatifu?
Kuna uozo mpaka wa kutetea ushoga uliosababishaga sodoma na gomola kuchomwa Moto!!
Kuna mambo ya ajabu kuhamasisha wananchi kwenda kushindana na Dola!
Lakini upande wa Mungu unasema hivi, Kushindana kwetu Sisi si juu ya damu na nyama, Bali siraha zetu ni juu ya mawazo mabaya na zinauwezo wa kuangusha ngome na kila kitu kijiinuacho kuzuia kusudi la Mungu
Sasa wewe unamsifia Nani na kumhukumu Nani mkuu