carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Nakubaliana na yote kasoro kumuita Samia ‘Rais’.Ndugu Watanzania!
Rais Samia aliunda Time ya Jaji Lila kwa ajili ya kuchunguza au kubaini makundi makuu manne ya watu ambayo ni:
1. Watu waliopanga kile ambacho yeye alikiita kuwa ni matukio ya vurugu kabla, wakati na pia baada ya siku ya Uchaguzi wa 29 Oktoba 2025.
2. Watu walioratibu kile ambacho yeye alikiita ni matukio ya vurugu kabla, wakati na baada ya siku ya Uchaguzi wa 29 Oktoba 2025.
3. Watu waliofadhili kile ambacho yeye alikiita ni matukio ya vurugu kabla, wakati na baada ya siku ya Uchaguzi wa 29 Oktoba 2025.
Lakini kuna watu wengine ambao wapo katika makundi 4 ambao Tume ya Jaji Lila haijapewa kazi ya kuwachunguza na kuwabaini. Makundi hayo ni haya yafuatayo:
1. Watu waliopanga kupiga risasi na kuua watu ambao sisi tunawaita kuwa ni waandamanaji na ambao hawakuwa waandamanaji - wengine walifuatwa majumbani mwao, katika vibanda vya mpira, katika maduka na biashara zao, nk.
2. Watu walioratibu kupiga risasi na kuua watu ambao sisi tunawaita kuwa ni waandamanaji na ambao hawakuwa waandamanaji - wengine walifuatwa majumbani mwao, katika vibanda vya mpira, katika maduka na biashara zao, nk.
3. Watu waliofadhili kupiga risasi na kuua watu ambao sisi tunawaita kuwa ni waandamanaji na ambao hawakuwa waandamanaji - wengine walifuatwa majumbani mwao, katika vibanda vya mpira, katika maduka na biashara zao, nk.
4. Watu waliotekeleza kupiga risasi na kuwaua watu ambao sisi tunawaita kuwa hawakuwa ni waandamanaji - wapo waliofuatwa majumbani mwao, katika vibanda vya mpira, katika maduka na biashara zao, nk.
Kwa ujumla, kundi hili linahusisha watu walitoa amri ya kuua, watu waliotekeleza mauaji hayo, watu waliotoa fedha za kununua silaha na watu waliowalipa wauaji, nk.
Kwa katiba ya Tanzania kupanga maandamano; kuratibu maandamano, kufadhili maandamano na kufanya maandamano sio kosa la jinai wala sio kosa kabisa kisheria. Itabidi Serikali ya Rais Samia ithibitishe mahakamani kuwa waliouawa walipafanya vurugu, achilia mbali kuthibitisha kama zile zilikuwa ni vurugu na walichofanya (kuua watu wote wale ni kwa mujibu wa sheria.
Kwa muono wetu, Tume ya kuchunguza watu wote waliopanga, walioratibu, waliofadhili na waliotekeleza mauaji ndio Tume muhimu zaidi kuliko Tume ya kuchunguza watu waliopanga, walioratibu, waliofadhili na kutekeleza vitendo ambavyo Rais Samia anaviita ni vurugu lakini sisi tunaviita maandamano.
Watu waliowahi kushatakiwa the Hague ni wale waliotuhumiwa kupanga, kuratibu, kufadhili na kutekeleza mauaji; lakini sio waliotuhumiwa kupanga, kuratibu kufadhili na kutekeleza vitendo vya 'vurugu' (maandamano). Ni jambo la kushangaza kuwa kwa kiwango kikubwa cha mauaji kama yale, hakuna hata kamanda wa Jeshi la Polisi, Jeshi la Wananchi au Usalama wa Taifa anauechunguzwa kwa kutoa amri ya kuua mamia ya watu. Kwamba hakuna hata DC, RC au Waziri anauechunguzwa kwa kutoa amri ya kuua mamia ya watu kwa kiwango kile.
Lakini ni wazi kuwa jinai haiozi. Siku ambayo madaraka yatakuja kuondoka katika mikono ya watawala waliopo sasa, Watanzania watakuja kuunda Tume Huru ya kuchunguza watu wote waliopanga, walioratibu, waliofadhili pamoja na kutekeleza mauaji ya halaiki (massacres) ya 29 - 31 Oktoba 2025.
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 31 Oktoba 2026; Saa 2:10 usiku wa manane
Soma Pia: Tume ya Jaji Lila kuanza uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29
Kwa nini unamtetea Samia?Tunarudi tu pale-pale; Aliemlazimisha Samia kutoa amri ya kupiga wale watoto risasi ni Jakaya Kikwete.
Samia ni mama na kuchukua uhai wa watoto wake aikuwa rahisi.
Na yeye Samia kwa sasa ni mateka wa wahuni tu.
Alie ua wale watoto October 29 ni Jakaya Kikwete sio Samia.
Samia alikataa kutoa hiyo amri, Jakaya Kikwete na genge lake la wahuni ndio waliomshinikiza kutoa amri ya kupiga wale watoto risasi.
Kila mtu abebe msalaba wake.
Samia ni raisi wa hovyo kweli, lakini alietoa amri ya kuuwa wale watoto 29/10/2025 ni Jakaya Kikwete.
Jakaya Kikwete ndiye aliemlazimisha Samia kutoa amri ya watoto kupigwa risasi
Ni mama, mwenye mtoto mwenye tamaa.Kwa nini unamtetea Samia?
Yeye ndiye anahusika moja kwa moja na hayo mauaji.Ni mama, mwenye mtoto mwenye tamaa.
Na yeye pia ana tamaa zake.
But then kama unasoma post zangu.
Mimi ndio wa kwanza kuwaambia humu Abdul best wake Mombo; though not many paid attention.
The same sources, maafisa usalama wenye tamaa na wasiompenda Magufuli ndio waliofunguka.
Samia ilikuwa ngumu sana kwakwe kubariki amri ya kupiga risasi watoto wake.
Jakaya ndio alie mshawishi kutoa amri hiyo Samia.
Samia hakujua jamaa kama wangefanya unyama ule (sasa aina Abdul nae hakujuwa).
It’s a lot of background story
Dude like seriously, you as a seasoned contributor on this political forum; you should have communication with those in the know.Yeye ndiye anahusika moja kwa moja na hayo mauaji.
Kwa nini? Kwa sababu hakuna ugumu wowote ule kutamka wazi hadharani kuwa yeye hakutoa hayo maagizo na kuanza kuwawajibisha watu.
Mtawala wa Tanzania ni zaidi ya mungu.
Angekuwa keshaanza kuwawajibisha waliohusika leo taifa lingekuwa lipo kwenye hali tofauti kabisa.
Kashindwa hata kuomba radhi. Hata juzi tarehe 29 hajatoa pole.
Utawala wake haujawatambua kabisa watu waliowaua.
Huyo mwanamke ni muuaji.
Nani alimshawishi nani…..that’s irrelevant.
Yeye ni mtu mzima. Anashawishiwaje watu wauliwe namna ile?
Hana akili timamu? Ni zuzu? Ni juha?
Kuna mbinu nyingi tu za kukabiliana na waandamanaji wanaoleta vurugu zaidi ya kuwaua.
Hawakuzitumia hizo mbinu. Wakatumia risasi.
Mwanamke mzima mwenye watoto na wajukuu unakubali vipi kushawishiwa watu wauliwe vile halafu na wewe unakubali?
Hayo mauaji yaliendelea kwa siku kadhaa baada ya Oktoba 29.
Baada ya kuona yaliyotokea Oktoba 29 kwa nini hakuamuru waache kuua?
No way Jose! Samia anahusika moja kwa moja kwa 100%.
Kama alishawishiwa akubali watu wauliwe namna ile, that’s even worse and it does not absolve her from accountability.
She is a genocidal murderer. Period, end of sentence.
Samia hawezi kuwa rais, bali ni kiongozi wa 'Cartel', ambayo Abdul yupo na wengineo akiwamo Kikwete, Rajab Mapete, mkuu wa mazombie, IGP fake, Mkuu wa majeshi ambaye hajielewi kupita watu wote ambao nimewahi kuwafahamuNakubaliana na yote kasoro kumuita Samia ‘Rais’.
Ila hoja zote ni nzuri kabisa na ambazo wauaji hawawezi kuzipangua.
Don’t care alishawishiwa na nani.Dude like seriously, you as a seasoned contributor on this political forum; you should have communication with those in the know.
Samia is a useless president, lakini ni mama.
Baada ya Abdul na mafisadi kushindwa kumshawishi raisi Samia, ilibidi mafisadi wamfuate Jakaya amshawishi Samia.
Ndio Samia ni raisi wa hovyo, ila kama hakutaka kabisa hao watoto wapigwe risasi. Ni Jakaya Kikwete ndio aliemshinikiza Samia kutoa hiyo amri.
Huo ndio ukweli
Kabla ya vyombo vya dola kuingilia kati ili kuzima jarabio la mapinduzi haramu nani alifuatua risasi. Askofu inabidi atuambie nani walikua nyuma ya mipango hiyo kwanza maana bila kufanya mipango hiyo mambo ya vifo yasingetokea.Ndugu Watanzania!
Rais Samia aliunda Time ya Jaji Lila kwa ajili ya kuchunguza au kubaini makundi makuu manne ya watu ambayo ni:
1. Watu waliopanga kile ambacho yeye alikiita kuwa ni matukio ya vurugu kabla, wakati na pia baada ya siku ya Uchaguzi wa 29 Oktoba 2025.
2. Watu walioratibu kile ambacho yeye alikiita ni matukio ya vurugu kabla, wakati na baada ya siku ya Uchaguzi wa 29 Oktoba 2025.
3. Watu waliofadhili kile ambacho yeye alikiita ni matukio ya vurugu kabla, wakati na baada ya siku ya Uchaguzi wa 29 Oktoba 2025.
Lakini kuna watu wengine ambao wapo katika makundi 4 ambao Tume ya Jaji Lila haijapewa kazi ya kuwachunguza na kuwabaini. Makundi hayo ni haya yafuatayo:
1. Watu waliopanga kupiga risasi na kuua watu ambao sisi tunawaita kuwa ni waandamanaji na ambao hawakuwa waandamanaji - wengine walifuatwa majumbani mwao, katika vibanda vya mpira, katika maduka na biashara zao, nk.
2. Watu walioratibu kupiga risasi na kuua watu ambao sisi tunawaita kuwa ni waandamanaji na ambao hawakuwa waandamanaji - wengine walifuatwa majumbani mwao, katika vibanda vya mpira, katika maduka na biashara zao, nk.
3. Watu waliofadhili kupiga risasi na kuua watu ambao sisi tunawaita kuwa ni waandamanaji na ambao hawakuwa waandamanaji - wengine walifuatwa majumbani mwao, katika vibanda vya mpira, katika maduka na biashara zao, nk.
4. Watu waliotekeleza kupiga risasi na kuwaua watu ambao sisi tunawaita kuwa hawakuwa ni waandamanaji - wapo waliofuatwa majumbani mwao, katika vibanda vya mpira, katika maduka na biashara zao, nk.
Kwa ujumla, kundi hili linahusisha watu walitoa amri ya kuua, watu waliotekeleza mauaji hayo, watu waliotoa fedha za kununua silaha na watu waliowalipa wauaji, nk.
Kwa katiba ya Tanzania kupanga maandamano; kuratibu maandamano, kufadhili maandamano na kufanya maandamano sio kosa la jinai wala sio kosa kabisa kisheria. Itabidi Serikali ya Rais Samia ithibitishe mahakamani kuwa waliouawa walipafanya vurugu, achilia mbali kuthibitisha kama zile zilikuwa ni vurugu na walichofanya (kuua watu wote wale ni kwa mujibu wa sheria.
Kwa muono wetu, Tume ya kuchunguza watu wote waliopanga, walioratibu, waliofadhili na waliotekeleza mauaji ndio Tume muhimu zaidi kuliko Tume ya kuchunguza watu waliopanga, walioratibu, waliofadhili na kutekeleza vitendo ambavyo Rais Samia anaviita ni vurugu lakini sisi tunaviita maandamano.
Watu waliowahi kushatakiwa the Hague ni wale waliotuhumiwa kupanga, kuratibu, kufadhili na kutekeleza mauaji; lakini sio waliotuhumiwa kupanga, kuratibu kufadhili na kutekeleza vitendo vya 'vurugu' (maandamano). Ni jambo la kushangaza kuwa kwa kiwango kikubwa cha mauaji kama yale, hakuna hata kamanda wa Jeshi la Polisi, Jeshi la Wananchi au Usalama wa Taifa anauechunguzwa kwa kutoa amri ya kuua mamia ya watu. Kwamba hakuna hata DC, RC au Waziri anauechunguzwa kwa kutoa amri ya kuua mamia ya watu kwa kiwango kile.
Lakini ni wazi kuwa jinai haiozi. Siku ambayo madaraka yatakuja kuondoka katika mikono ya watawala waliopo sasa, Watanzania watakuja kuunda Tume Huru ya kuchunguza watu wote waliopanga, walioratibu, waliofadhili pamoja na kutekeleza mauaji ya halaiki (massacres) ya 29 - 31 Oktoba 2025.
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 31 Oktoba 2026; Saa 2:10 usiku wa manane
Soma Pia: Tume ya Jaji Lila kuanza uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29
💯%.Samia hawezi kuwa rais, bali ni kiongozi wa Cartel, ambayo Abdul yupo kwenye hiyo Cartel na wengineo akiwamo huyo fala Kikwete, Rajab Mapete, mkuu wa mazombie, IGP fake, Mkuu wa majeshi ambaye ni mpumbavu kupita watu wote ambao nimewahi kuwafahamu.
That’s your prerogative on what you prioritise. Else J.F motto be the first to know still stands. 👇Don’t care alishawishiwa na nani.
Wahusika wa vyombo vya usalama wote wako chini yake.
Therefore, she is 1,000% responsible for the massacre.
She is a genocidal murderer and a candidate for The Hague.
Kuna yule aliyesema TUJIFUNGIE NDANI maana maPOLICCM yana KAZI MAALUMU ya kufanya MITAANINdugu Watanzania!
Rais Samia aliunda Time ya Jaji Lila kwa ajili ya kuchunguza au kubaini makundi makuu manne ya watu ambayo ni:
1. Watu waliopanga kile ambacho yeye alikiita kuwa ni matukio ya vurugu kabla, wakati na pia baada ya siku ya Uchaguzi wa 29 Oktoba 2025.
2. Watu walioratibu kile ambacho yeye alikiita ni matukio ya vurugu kabla, wakati na baada ya siku ya Uchaguzi wa 29 Oktoba 2025.
3. Watu waliofadhili kile ambacho yeye alikiita ni matukio ya vurugu kabla, wakati na baada ya siku ya Uchaguzi wa 29 Oktoba 2025.
Lakini kuna watu wengine ambao wapo katika makundi 4 ambao Tume ya Jaji Lila haijapewa kazi ya kuwachunguza na kuwabaini. Makundi hayo ni haya yafuatayo:
1. Watu waliopanga kupiga risasi na kuua watu ambao sisi tunawaita kuwa ni waandamanaji na ambao hawakuwa waandamanaji - wengine walifuatwa majumbani mwao, katika vibanda vya mpira, katika maduka na biashara zao, nk.
2. Watu walioratibu kupiga risasi na kuua watu ambao sisi tunawaita kuwa ni waandamanaji na ambao hawakuwa waandamanaji - wengine walifuatwa majumbani mwao, katika vibanda vya mpira, katika maduka na biashara zao, nk.
3. Watu waliofadhili kupiga risasi na kuua watu ambao sisi tunawaita kuwa ni waandamanaji na ambao hawakuwa waandamanaji - wengine walifuatwa majumbani mwao, katika vibanda vya mpira, katika maduka na biashara zao, nk.
4. Watu waliotekeleza kupiga risasi na kuwaua watu ambao sisi tunawaita kuwa hawakuwa ni waandamanaji - wapo waliofuatwa majumbani mwao, katika vibanda vya mpira, katika maduka na biashara zao, nk.
Kwa ujumla, kundi hili linahusisha watu walitoa amri ya kuua, watu waliotekeleza mauaji hayo, watu waliotoa fedha za kununua silaha na watu waliowalipa wauaji, nk.
Kwa katiba ya Tanzania kupanga maandamano; kuratibu maandamano, kufadhili maandamano na kufanya maandamano sio kosa la jinai wala sio kosa kabisa kisheria. Itabidi Serikali ya Rais Samia ithibitishe mahakamani kuwa waliouawa walipafanya vurugu, achilia mbali kuthibitisha kama zile zilikuwa ni vurugu na walichofanya (kuua watu wote wale ni kwa mujibu wa sheria.
Kwa muono wetu, Tume ya kuchunguza watu wote waliopanga, walioratibu, waliofadhili na waliotekeleza mauaji ndio Tume muhimu zaidi kuliko Tume ya kuchunguza watu waliopanga, walioratibu, waliofadhili na kutekeleza vitendo ambavyo Rais Samia anaviita ni vurugu lakini sisi tunaviita maandamano.
Watu waliowahi kushatakiwa the Hague ni wale waliotuhumiwa kupanga, kuratibu, kufadhili na kutekeleza mauaji; lakini sio waliotuhumiwa kupanga, kuratibu kufadhili na kutekeleza vitendo vya 'vurugu' (maandamano). Ni jambo la kushangaza kuwa kwa kiwango kikubwa cha mauaji kama yale, hakuna hata kamanda wa Jeshi la Polisi, Jeshi la Wananchi au Usalama wa Taifa anauechunguzwa kwa kutoa amri ya kuua mamia ya watu. Kwamba hakuna hata DC, RC au Waziri anauechunguzwa kwa kutoa amri ya kuua mamia ya watu kwa kiwango kile.
Lakini ni wazi kuwa jinai haiozi. Siku ambayo madaraka yatakuja kuondoka katika mikono ya watawala waliopo sasa, Watanzania watakuja kuunda Tume Huru ya kuchunguza watu wote waliopanga, walioratibu, waliofadhili pamoja na kutekeleza mauaji ya halaiki (massacres) ya 29 - 31 Oktoba 2025.
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 31 Oktoba 2026; Saa 2:10 usiku wa manane
Soma Pia: Tume ya Jaji Lila kuanza uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29
Kwa hiyo Jakaya ana power kuliko Samia? Samia aliwekewa bunduki kichwani ? Nikikushawishi kuua mtu ukaua unakuwa huna hatia?Dude like seriously, you as a seasoned contributor on this political forum; you should have communication with those in the know.