PostGE2025 Askofu Emmaus Mwamakula: Tume ya Jaji Lila imekwepeshwa mambo muhimu juu ya Mauaji ya Oktoba 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Angekataa ingekuwaje?
Mimi nakwambia alikataa, ikabidi J.K atumwe kumshinikiza.

Na yeye akaamua kutoa hiyo amri kwa kushinikizwa.

Maana yake nini (anajua Samia mwenyewe process ya maamuzi take) in other words unataka niwe sehemu ya fikra za ‘bi tozo’.

Well if it where up to me, my advice would have been stick to the great Magufuli agenda/goals
 
Ndugu Watanzania!

Rais Samia aliunda Time ya Jaji Lila kwa ajili ya kuchunguza au kubaini makundi makuu manne ya watu ambayo ni:

1. Watu waliopanga kile ambacho yeye alikiita kuwa ni matukio ya vurugu kabla, wakati na pia baada ya siku ya Uchaguzi wa 29 Oktoba 2025.

2. Watu walioratibu kile ambacho yeye alikiita ni matukio ya vurugu kabla, wakati na baada ya siku ya Uchaguzi wa 29 Oktoba 2025.

3. Watu waliofadhili kile ambacho yeye alikiita ni matukio ya vurugu kabla, wakati na baada ya siku ya Uchaguzi wa 29 Oktoba 2025.

Lakini kuna watu wengine ambao wapo katika makundi 4 ambao Tume ya Jaji Lila haijapewa kazi ya kuwachunguza na kuwabaini. Makundi hayo ni haya yafuatayo:

1. Watu waliopanga kupiga risasi na kuua watu ambao sisi tunawaita kuwa ni waandamanaji na ambao hawakuwa waandamanaji - wengine walifuatwa majumbani mwao, katika vibanda vya mpira, katika maduka na biashara zao, nk.

2. Watu walioratibu kupiga risasi na kuua watu ambao sisi tunawaita kuwa ni waandamanaji na ambao hawakuwa waandamanaji - wengine walifuatwa majumbani mwao, katika vibanda vya mpira, katika maduka na biashara zao, nk.

3. Watu waliofadhili kupiga risasi na kuua watu ambao sisi tunawaita kuwa ni waandamanaji na ambao hawakuwa waandamanaji - wengine walifuatwa majumbani mwao, katika vibanda vya mpira, katika maduka na biashara zao, nk.

4. Watu waliotekeleza kupiga risasi na kuwaua watu ambao sisi tunawaita kuwa hawakuwa ni waandamanaji - wapo waliofuatwa majumbani mwao, katika vibanda vya mpira, katika maduka na biashara zao, nk.

Kwa ujumla, kundi hili linahusisha watu walitoa amri ya kuua, watu waliotekeleza mauaji hayo, watu waliotoa fedha za kununua silaha na watu waliowalipa wauaji, nk.

Kwa katiba ya Tanzania kupanga maandamano; kuratibu maandamano, kufadhili maandamano na kufanya maandamano sio kosa la jinai wala sio kosa kabisa kisheria. Itabidi Serikali ya Rais Samia ithibitishe mahakamani kuwa waliouawa walipafanya vurugu, achilia mbali kuthibitisha kama zile zilikuwa ni vurugu na walichofanya (kuua watu wote wale ni kwa mujibu wa sheria.

Kwa muono wetu, Tume ya kuchunguza watu wote waliopanga, walioratibu, waliofadhili na waliotekeleza mauaji ndio Tume muhimu zaidi kuliko Tume ya kuchunguza watu waliopanga, walioratibu, waliofadhili na kutekeleza vitendo ambavyo Rais Samia anaviita ni vurugu lakini sisi tunaviita maandamano.

Watu waliowahi kushatakiwa the Hague ni wale waliotuhumiwa kupanga, kuratibu, kufadhili na kutekeleza mauaji; lakini sio waliotuhumiwa kupanga, kuratibu kufadhili na kutekeleza vitendo vya 'vurugu' (maandamano). Ni jambo la kushangaza kuwa kwa kiwango kikubwa cha mauaji kama yale, hakuna hata kamanda wa Jeshi la Polisi, Jeshi la Wananchi au Usalama wa Taifa anauechunguzwa kwa kutoa amri ya kuua mamia ya watu. Kwamba hakuna hata DC, RC au Waziri anauechunguzwa kwa kutoa amri ya kuua mamia ya watu kwa kiwango kile.

Lakini ni wazi kuwa jinai haiozi. Siku ambayo madaraka yatakuja kuondoka katika mikono ya watawala waliopo sasa, Watanzania watakuja kuunda Tume Huru ya kuchunguza watu wote waliopanga, walioratibu, waliofadhili pamoja na kutekeleza mauaji ya halaiki (massacres) ya 29 - 31 Oktoba 2025.

Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

Itunge, Dar es Salaam; 31 Oktoba 2026; Saa 2:10 usiku wa manane

Soma Pia: Tume ya Jaji Lila kuanza uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29
Ok.
Mwambieni Baba Askofu atulie na kuipa fursa na nafasi kidogo tume huru ya Jaji Lila kufanya wajibu iliyopewa na wananchi kwa uhuru na kuikamilisha kwa wakati na itapendeza zaidi.

ni muhimu sana ikiwa tume itamuhitaji,
basi atoe ushirikiano 🐒
 
Don’t care alishawishiwa na nani.

Wahusika wa vyombo vya usalama wote wako chini yake.

Therefore, she is 1,000% responsible for the massacre.

She is a genocidal murderer and a candidate for The Hague.
genocidaire Samia Suluhu Hassan aka Kitambi
 
Ndugu Watanzania!

Rais Samia aliunda Time ya Jaji Lila kwa ajili ya kuchunguza au kubaini makundi makuu manne ya watu ambayo ni:

1. Watu waliopanga kile ambacho yeye alikiita kuwa ni matukio ya vurugu kabla, wakati na pia baada ya siku ya Uchaguzi wa 29 Oktoba 2025.

2. Watu walioratibu kile ambacho yeye alikiita ni matukio ya vurugu kabla, wakati na baada ya siku ya Uchaguzi wa 29 Oktoba 2025.

3. Watu waliofadhili kile ambacho yeye alikiita ni matukio ya vurugu kabla, wakati na baada ya siku ya Uchaguzi wa 29 Oktoba 2025.

Lakini kuna watu wengine ambao wapo katika makundi 4 ambao Tume ya Jaji Lila haijapewa kazi ya kuwachunguza na kuwabaini. Makundi hayo ni haya yafuatayo:

1. Watu waliopanga kupiga risasi na kuua watu ambao sisi tunawaita kuwa ni waandamanaji na ambao hawakuwa waandamanaji - wengine walifuatwa majumbani mwao, katika vibanda vya mpira, katika maduka na biashara zao, nk.

2. Watu walioratibu kupiga risasi na kuua watu ambao sisi tunawaita kuwa ni waandamanaji na ambao hawakuwa waandamanaji - wengine walifuatwa majumbani mwao, katika vibanda vya mpira, katika maduka na biashara zao, nk.

3. Watu waliofadhili kupiga risasi na kuua watu ambao sisi tunawaita kuwa ni waandamanaji na ambao hawakuwa waandamanaji - wengine walifuatwa majumbani mwao, katika vibanda vya mpira, katika maduka na biashara zao, nk.

4. Watu waliotekeleza kupiga risasi na kuwaua watu ambao sisi tunawaita kuwa hawakuwa ni waandamanaji - wapo waliofuatwa majumbani mwao, katika vibanda vya mpira, katika maduka na biashara zao, nk.

Kwa ujumla, kundi hili linahusisha watu walitoa amri ya kuua, watu waliotekeleza mauaji hayo, watu waliotoa fedha za kununua silaha na watu waliowalipa wauaji, nk.

Kwa katiba ya Tanzania kupanga maandamano; kuratibu maandamano, kufadhili maandamano na kufanya maandamano sio kosa la jinai wala sio kosa kabisa kisheria. Itabidi Serikali ya Rais Samia ithibitishe mahakamani kuwa waliouawa walipafanya vurugu, achilia mbali kuthibitisha kama zile zilikuwa ni vurugu na walichofanya (kuua watu wote wale ni kwa mujibu wa sheria.

Kwa muono wetu, Tume ya kuchunguza watu wote waliopanga, walioratibu, waliofadhili na waliotekeleza mauaji ndio Tume muhimu zaidi kuliko Tume ya kuchunguza watu waliopanga, walioratibu, waliofadhili na kutekeleza vitendo ambavyo Rais Samia anaviita ni vurugu lakini sisi tunaviita maandamano.

Watu waliowahi kushatakiwa the Hague ni wale waliotuhumiwa kupanga, kuratibu, kufadhili na kutekeleza mauaji; lakini sio waliotuhumiwa kupanga, kuratibu kufadhili na kutekeleza vitendo vya 'vurugu' (maandamano). Ni jambo la kushangaza kuwa kwa kiwango kikubwa cha mauaji kama yale, hakuna hata kamanda wa Jeshi la Polisi, Jeshi la Wananchi au Usalama wa Taifa anauechunguzwa kwa kutoa amri ya kuua mamia ya watu. Kwamba hakuna hata DC, RC au Waziri anauechunguzwa kwa kutoa amri ya kuua mamia ya watu kwa kiwango kile.

Lakini ni wazi kuwa jinai haiozi. Siku ambayo madaraka yatakuja kuondoka katika mikono ya watawala waliopo sasa, Watanzania watakuja kuunda Tume Huru ya kuchunguza watu wote waliopanga, walioratibu, waliofadhili pamoja na kutekeleza mauaji ya halaiki (massacres) ya 29 - 31 Oktoba 2025.

Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

Itunge, Dar es Salaam; 31 Oktoba 2026; Saa 2:10 usiku wa manane

Soma Pia: Tume ya Jaji Lila kuanza uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29
aunde timu yake aje na matokeo yake
 
That’s your prerogative on what you prioritise. Else J.F motto be the first to know still stands. 👇

I was the first to highlight Abdul was besty with Mombo. At the time no one paid attention (it took another year) for JF to figure that out.

Thus when I tell you Samia was forced to issue the shooting order, Know I have inside credible sources.
Please my dear,who is Mombo?
 
Kama hio Tume ingekua REAL basi ingekuja na majibu haya kabla hata ya kwenda huko wa nani alitoa amri ya kuuwa, kwa kutumia hadidu hizohizo za huyo Mzee majibu yangekua hivi;
Nani aliyeandaa na kuratibu; UVCCM waliandaa na kusimamia haya kwa msaada wa Wakuu wa Wilaya na RC, RCO, DCOs na Viongozi wa CCM, hii ina ushahidi wa kimazingira, kimaneno, kimaandandishi. Rejea Kauli za Viongozi wa UVCCM, DCs na baadhi ya RCs, zipo na zimejaa mtandaoni hata sasa.

Kwa wale wasiojua, UVCCM wana vikundi vya kijeshi vya Greenguard, miaka fulani ya 2005 hap viliratibiwa na kiongozi mmoja sasa hivi serikalini enzi zile akiwa UVCCM, ziliwahi kuwepo picha na video mtandaoni zikimuonyesha kiongozi yule wakiwa vichakani na kundi la vijana, na mengine mengi.

UVCCM na Viongozi wa CCM na Ma-DC wengi kwa nyakati tofauti wamekiri kwa vinywa vyao kufadhili, kufundisha na kusimamia mafunzo haya kwa vijana wao kwa ahadi ya vyeo, madaraka na kazi.

Kauli za baadhi ya Polisi ambazo baadhi zipo bado mtandaoni hadi leo hii zinathibitisha kuwa POLISI walihusika sana na kushirikishwa kila hatua hadi utekelezaji.
Kwa Uvccm kuhusika hii ni 99.9% ya Ukweli.
 
Kabla ya vyombo vya dola kuingilia kati ili kuzima jarabio la mapinduzi haramu nani alifuatua risasi. Askofu inabidi atuambie nani walikua nyuma ya mipango hiyo kwanza maana bila kufanya mipango hiyo mambo ya vifo yasingetokea.
Jaribio gani la Mapinduzi alikuwa anafanya Sheikh Shariff Majini?

Sielewi kwanini kuna baadhi ya watu wanabisha huwezi kufikiri kwa kutumia matako na mifano ndio hii kama yako?!
 
Whose your dear for staters?

The ‘Mombo’ part is apparent who is referred to; unless you are not a Tanzanian.

Please don’t stress people in this forum with nonsense
Inafikia pahala kutokana na upuuzi uliopo pale juu hata kuwafuatilia wanaoteuliwa inakuwa haina maana.
Ebu fikiria eti inafikia wakati anateuliwa marehemu licha ya idadi kubwa ya Watanganyika tuliopo,hivi inawekanaje?
 
Mimi nakwambia alikataa, ikabidi J.K atumwe kumshinikiza.

Na yeye akaamua kutoa hiyo amri kwa kushinikizwa.

Maana yake nini (anajua Samia mwenyewe process ya maamuzi take) in other words unataka niwe sehemu ya fikra za ‘bi tozo’.

Well if it where up to me, my advice would have been stick to the great Magufuli agenda/goals
Kama alishinikizwa na akakubali, still it doesn't absolve her of the crime. Alikuwa na utashi wa kukubali au kukataa. Na si hivyo tu, kaishasema nguvu iliyotumika ilikuwa halali na stahiki. She is 100% guilty, iwe kashinikizwa au la.
 
Back
Top Bottom