PostGE2025 Askofu Emmaus Mwamakula: Tume ya Jaji Lila imekwepeshwa mambo muhimu juu ya Mauaji ya Oktoba 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huyu ndiye mchungaji wa Taifa, suo kina Malasusa kazi yao uchawa tu
 
Jakaya hana mamlaka ya kuamuru majeshi kupiga watu risasi.

Katiba inasema Rais halazimishwi kufuata ushauri wa mtu yeyote. Kama aliamuru basi aliyeamuru ni yeye, full stop.
 
Whitewashing
 
Jaribio gani la Mapinduzi alikuwa anafanya Sheikh Shariff Majini?

Sielewi kwanini kuna baadhi ya watu wanabisha huwezi kufikiri kwa kutumia matako na mifano ndio hii kama yako?!
Tatizo ni kukosa malezi...pole sana. Sasa una andika matusi tu
 
This is white washing. Kama na yeye ana mawazo kama ya yule Sheick Mwaipopo unategemea awe na huruma gani?

Mzee Kibao aliuwawa kinyama. Mwili wake uliokotwa ukiwa na majeraha yaliyoonyesha alifanyiwa ukatili wa hali ya juu. Hata macho yake walimtoboa.

Mtu mwenye huruma angeweza kusema “kifo ni kifo tu” Kama vile alikufa kwenye ajali au natural cause?

Yeye huruma hana hata kidogo. So enough with this whitewashing

Kwanza alisema eti hao wazazi wangezuia watoto wasitoke, ilhali alifahamu kabisa kuwa wengi tu waliuwawa wakiwa majumbani mwao.

Yani ashawishiwe kwamba akubali wananchi wauwawe, halafu bado akakosa sympathy baada ya kuona matokeo yake?

If you believe that, I have a bridge to sell you.
 
Sisi raia ni kama madodoki wa kufyonza kila takataka ujue, tungeambiwa hivi tangia mwanzo tungeridhika tu!

Na yeye Samia angesimama hadharani angalau kulaani mauaji, kidogo hasira za raia zingeshuka.

Lakini kwa namna alivyokaza fuvu, jibu linaleta maana kuwa ni yeye aliyebariki mauaji hayo na Kikwete anazushiwa tu na machawa wa Samia.

Rais aliyepo madarakani hawezi kulazimiashwa na yeyote na yeye akafuata!

Kasome Katiba juu ya madaraka ya Rais.
 
Rais anakuaje mateka 😄 😄 😄
 
Walio uwa watu Zanzibar Kuna hata Mmoja aliye wajibishwa mpaka sasa ?ilimradi ccm Iko madarakani hilo suala la kuwajibisha hao watu mlisahau ccm kulindana ni utamaduni wao wa kurithishana.
Zanzibar ni nchi, wameyamaliza wenyewe kwa muafaka na maridhiano feki. Hili halitotokea Tanganyika.
 
Waliliamsha vibaya sana yaan alipoona hii clip nahisi ndipo aliposaini wauwawe
Your browser is not able to display this video.
 
WENGINE TUNAOGOPA KUSEMA TUSIJE TEKWA.LAKINI 29 OCTOBA ILIKUWA MBAYA KWA TAIFA.LILE NI KABURI ZURI KWA CCM ,NA SIYO KWA POLICE AU USALAMA WA TAIFA.SEMA TU HATUNA KATIBA NZURI NA TUME HURU NZURI ,CCM INGEWEZA KUTEMBEZWA KICHAPO CHA MBWA KOKO HAPO 2030. NA NDIO MAANA MSTAFU CHIMBI AKALIASA TAIFA KUDAI KATIBA MPYA .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…