Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Bila Kuchoka Mkuu, ni Left Right 😂😂😂Ni vitasa kwa kwenda mbele💪🏿⚡
Kikubwa ni Binadamu aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu, haijalishi ni dini ganiMimi ninachofurahishwa zaidi na Kanisa Catholic ni huwasikii wakisema “ukicheza na thamani ya Mkristo” au ”ukicheza na thamani ya Mkatoliki” wao hujumuisha wote hata wasiokuwemo alimradi ni binadamu aliyeumbwa na Mungu.
😂😂siyo kupanic ila mtu akijaribu kufanya 'ulofa' dhidi ya thamani ya binadamu lazima apingweWanatumia kanisa kufanya harakati wamesahau kuwa jukumu lao ni kuomba kwa Mungu nguvu ya kiroho ambazo zitaimarisha ustawi wa maisha ya binadamu.
Wapunguze kupanic
Vipi sasa na masheikh wa bakwata wanapojibu hoja za hawa Maaskofu! Mbona hujikita zaidi kwenye kuwasimanga tu kwa kigezo cha ukatoliki au ukristo wao?Mimi ninachofurahishwa zaidi na Kanisa Catholic ni huwasikii wakisema “ukicheza na thamani ya Mkristo” au ”ukicheza na thamani ya Mkatoliki” wao hujumuisha wote hata wasiokuwemo alimradi ni binadamu aliyeumbwa na Mungu.
Na ndiyo maana wanapata support kutoka kwa wenye akili,
Nb:hii paragraph ya pili kama akili huna huwezi ukanielewa
Mungu anasema na nafsi za hao wanao pata ujasiri wa kupinga huku walijua wanaikabili hatari ya kifo.Wakati kanisa linachukua majukumu ya kupinga mungu unakuta kalala?
Alafu hao binadamu waliostawi kwa kuombewa baadaye Samia na genge lake wanawateka na kuwaua.Wanatumia kanisa kufanya harakati wamesahau kuwa jukumu lao ni kuomba kwa Mungu nguvu ya kiroho ambazo zitaimarisha ustawi wa maisha ya binadamu.
Wapunguze kupanic
Naanza kumuelewa Yuda sasa kwanini aliitwa Yuda...Wanatumia kanisa kufanya harakati wamesahau kuwa jukumu lao ni kuomba kwa Mungu nguvu ya kiroho ambazo zitaimarisha ustawi wa maisha ya binadamu.
Wapunguze kupanic
🔥🔥 Samuya analilia chooniNi vitasa kwa kwenda mbele💪🏿⚡
Mkuu umefurahi kuwa watu wa vichambo Sasa kama giggy money?!!!Bila Kuchoka Mkuu, ni Left Right 😂😂😂
Wale wanakosea sana mkuuVipi sasa na masheikh wa bakwata wanapojibu hoja za hawa Maaskofu! Mbona hujikita zaidi kwenye kuwasimanga tu kwa kigezo cha ukatoliki au ukristo wao?