Askofu Eusebius Nzigirwa: Ukichezea thamani ya Binadamu Kanisa litapinga kwa sauti kubwa

Askofu Eusebius Nzigirwa: Ukichezea thamani ya Binadamu Kanisa litapinga kwa sauti kubwa

Jeshi limesimamia usalama wa nchi kutoka katika Nia ya kishetani ya TEC ya tarehe 29 hawa jamaa hawaamini macho yao.........wakebaki na vijembe tu Sasa.
 
Samia the Butcher anasambuliwa kama mpira wa Kona,huku ICC akipasha, Roman Catholic wanaye,index for censorship wamependekeza awe dictator wa mwaka 2025.

Huyu akafie kibudu tu
Na huo ndo uongozi, kiongozi lazima ukutane na magumu na sio ulaini ulaini tu.........so far Samia ndiye Raisi na kwanamke mjasiri kuliko wote afrika kwa Sasa. Amejitahidi huyu mama kuvumilia visanga.
 
Mimi ninachofurahishwa zaidi na Kanisa Catholic ni huwasikii wakisema “ukicheza na thamani ya Mkristo” au ”ukicheza na thamani ya Mkatoliki” wao hujumuisha wote hata wasiokuwemo alimradi ni binadamu aliyeumbwa na Mungu.

Na ndiyo maana wanapata support kutoka kwa wenye akili,
Nb:hii paragraph ya pili kama akili huna huwezi ukanielewa
Na vipi mkuu kuhusu hiyo hoja yake ya wanaume kwa wanaume kuoana mbona hutoi comment yoyote au amefanya unafiki?!!!🤣🤣🤣
 
Na huo ndo uongozi, kiongozi lazima ukutane na magumu na sio ulaini ulaini tu.........so far Samia ndiye Raisi na kwanamke mjasiri kuliko wote afrika kwa Sasa. Amejitahidi huyu mama kuvumilia visanga.
Kampigie kura hapa indexoncensorship.org/2025/12/tyrant
Naona unampenda sana
 
Na vipi mkuu kuhusu hiyo hoja yake ya wanaume kwa wanaume kuoana mbona hutoi comment yoyote au amefanya unafiki?!!!🤣🤣🤣
Was£ng£ bwana
IMG_20251227_095908.jpg

Mbona hiyo sentesi ipo clearly na inaeleweka na kila mwanaume anayejitambua?una maana ulitaka nipingane nayo nikutetee wewe au?akikutetea sa100 anatosha sisi wengine mambo hayo kwetu ni laana.
 
Wanatumia kanisa kufanya harakati wamesahau kuwa jukumu lao ni kuomba kwa Mungu nguvu ya kiroho ambazo zitaimarisha ustawi wa maisha ya binadamu.
Wapunguze kupanic

Wewe ni zero brain kabisa.

Ukristo siyo kusali na kuomba tu, sehemu kubwa ya ukristo ni kuyaishi mapenzi ya Mungu, nayo ni upendo, msamaha, unyenyekevu, matendo ya haki na huruma. Usipoyaishi hayo, wewe ni sawa na wachawi na wale mashetani wanaowachinja binadamu wenzao huku wakilitaja jina la Mungu wao, maana hata wachawi na wale wanaosema walimsilimisha shetai na majini, nao huwa wanaomba. Ukristo ni upendo wa kweli, na ampendaye jirani yake kamwe hawezi kutulia bila kusema neno pale jirani take anapouawa, anapodhulumiwa.
 
Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mpanda Eusebius Nzigirwa amesema katika kusherekea sikukuu ya Christmas siku hiyo inawakumbusha watu thamani na hadhi ya utu wa mwanadamu na kanisa limekuwa likisimama kukemea kwa sauti kubwa wale wanaojaribu kuuchezea utu wa mwanadamu.

Askofu Nzigirwa amesema hayo Disemba 25, 2025 wakati wa mahubiri ya sikukuu ya Christmas Jimbo la Mpanda ambapo amesema inapotokea mwanadamu yeyote anamdharau binadamu mwingine kwa namna yeyote ni kudharau hadhi na thamani ya binadamu
aliyopewa na Mungu kanisa litapaza sauti kupinga.

"adhimisho hili liwafundishe thamani na hadhi ya mwanadamu na ndiyo maana kanisa limekuwa likitoa sauti kubwa kwa vitendo vya udhalilishaji limetoa sauti kubwa linavyopinga uumbaji ulioumbwa na Mungu kwa thamani kubwa anatokea binadamu anauchezea chezea"

Amesema ni muhimu watu kuzingatia uumbaji wa mungu na kuacha vitendo vunavyokiuka maadili na thamani ya uumbaji ikiwemo wanaume kujigeuza tabia za wanawake na wanawake kujigeuza vitendo vya kiume ni kudhalilisha utu na uumbaji wa Mungu.

Amesisitiza kuwaombea watoto walio katika dhiki katika matumbo ya mama zao ili wanapozaliwa wawe na uwezo wa kustahimili kama ilivokuwa kuzaliwa Kwa Yesu kristo.

Source Jambo TV
Kelele walianza zamani kabla ya askari wao wa vita vya msalaba hawajafumuliwa vidali oktoba
 
Mungu anasema na nafsi za hao wanao pata ujasiri wa kupinga huku walijua wanaikabili hatari ya kifo.
Bila kusikiliza sauti ya Mungu mioyoni mwao wangeogopa na kusifia au kutetea uovu kama wenzao.
Basi sawa
 
Wewe ni zero brain kabisa.

Ukristo siyo kusali na kuomba tu, sehemu kubwa ya ukristo ni kuyaishi mapenzi ya Mungu, nayo ni upendo, msamaha, unyenyekevu, matendo ya haki na huruma. Usipoyaishi hayo, wewe ni sawa na wachawi na wale mashetani wanaowachinja binadamu wenzao huku wakilitaja jina la Mungu wao, maana hata wachawi na wale wanaosema walimsilimisha shetai na majini, nao huwa wanaomba. Ukristo ni upendo wa kweli, na ampendaye jirani yake kamwe hawezi kutulia bila kusema neno pale jirani take anapouawa, anapodhulumiwa.
Kanisani si sehemu ya kupaniki Wala kufokea watu ni sehemu takatifu hao maaskofu wamekengeuka
 
Was£ng£ bwanaView attachment 3521266
Mbona hiyo sentesi ipo clearly na inaeleweka na kila mwanaume anayejitambua?una maana ulitaka nipingane nayo nikutetee wewe au?akikutetea sa100 anatosha sisi wengine mambo hayo kwetu ni laana.
Taratibu mkuu, utanielewa tu hata usitukane. Maana yangu ilikuwa kushangaza mbona tunaona na kusikia Vatican ndoa zinafungoshwa kama kawaida halafu hapa huyu askofu wenu anajifanya kukemea?!!
 
Kule usabatoni wanakemea
Kusuka
Kula kitimoto,kambale na kamongo.
Kuvaa Pete na hereni

Kwao utekaji,ufiraji na hata kuuliwa si issue kubwa sana kuliko kula kamongo.

Ukibainika umekula kamongo utatengwa na itakubidi ubatizwe upya.

Kule usabatoni Papa anaitwa Mnyama!
 
Taratibu mkuu, utanielewa tu hata usitukane. Maana yangu ilikuwa kushangaza mbona tunaona na kusikia Vatican ndoa zinafungoshwa kama kawaida halafu hapa huyu askofu wenu anajifanya kukemea?!!
Bwana wako gani wa Kikatoliki alikudanganya kwamba mtaenda kufungia ndoa yenu Vatican kisa Tanzania Maaskofu wanakemea?atakutoa puru akuache usidanganyike kiwepesi hivyo.

Wala sijatukana hapa unapokelewa unavyokuja!
 
Naona umepanick Mzee, pole sana. Lakini tunajua vizuri mnakoolewa
 
Back
Top Bottom