KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 19,185 Reaction score 37,239 Mar 30, 2022 #41 Hii kauli imeshachelewa.... viongozi wetu wa dini wameshachagua upande wao......kama sio mgeni wa siasa za nchi hii utalijua Hilo....
Hii kauli imeshachelewa.... viongozi wetu wa dini wameshachagua upande wao......kama sio mgeni wa siasa za nchi hii utalijua Hilo....
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Mar 31, 2022 #42 UmkhontoweSizwe said: Kukemea maovu ni tofauti na ukamanda bwashee Click to expand... Nani amekwambia hapo kuna ukamanda?
UmkhontoweSizwe said: Kukemea maovu ni tofauti na ukamanda bwashee Click to expand... Nani amekwambia hapo kuna ukamanda?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Mar 31, 2022 #43 KikulachoChako said: Hii kauli imeshachelewa.... viongozi wetu wa dini wameshachagua upande wao......kama sio mgeni wa siasa za nchi hii utalijua Hilo.... Click to expand... Congo kanisa katoliki lilisimama imara Kabila akakubali kuachia ngazi
KikulachoChako said: Hii kauli imeshachelewa.... viongozi wetu wa dini wameshachagua upande wao......kama sio mgeni wa siasa za nchi hii utalijua Hilo.... Click to expand... Congo kanisa katoliki lilisimama imara Kabila akakubali kuachia ngazi