GE2025 Askofu Fredrick Shoo: Mchango wa Rais Samia kwa Kanisa sio hongo. Niendelee kumsihi Rais Samia asirudishwe nyuma

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo nchini Tanzania CCT, Askofu Dkt. Fredrick Shoo amesema kuwa baadhi ya watu kwa sababu zao binafsi wamekuwa wakidai kuwa msaada wa Rais, Dkt. Samia ni sehemu ya hongo, madai ambayo yamekuwa yakimuumiza sana kama kiongozi wa dini.

"Niendelee kumsihi Rais Samia asirudishwe nyuma na watu hao bali aendelee kuwa na hofu ya Mungu katika kusaidia huduma za kiroho nchini."

Askofu Mkuu Shoo amebainisha hayo Julai 03, 2025 Jijini Dodoma wakati wa Mkutano Mkuu wa 32 wa CCT ambapo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano huo.

"Mahali pengine tunahitaji hekima, tunahitaji uelewa mzuri, tusifanye tu kama kuna sababu ya kumpinga Rais kwa namna yoyote ile, kumchukia kwasababu zako mwenyewe, kwa hiyo naomba Rais kwa unyenyekevu wake na kwa hofu yake anapotoa mchango kwa kazi ya kuwahudumia watu wa Mungu naomba sana tukwepe makosa makubwa ya kumsingizia kitu ambacho hajadhamiria kwenye moyo wake kwamba hii sasa ni rushwa." amesema Askofu Shoo

Mwanamke akiwezeshwa anaweza... mwanamke mwenyewe sasa
FB_IMG_17457531423338548.jpg
 
Tatizo Tanzania wanasiasa ndio wanapesa za kuchangia zaidi dini kuliko wafanyabiashara
 
Gypsum ungezaliwa kenge walau wadudu wangepata matumizi
 
Wakuu,

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo nchini Tanzania CCT, Askofu Dkt. Fredrick Shoo amesema kuwa baadhi ya watu kwa sababu zao binafsi wamekuwa wakidai kuwa msaada wa Rais, Dkt. Samia ni sehemu ya hongo, madai ambayo yamekuwa yakimuumiza sana kama kiongozi wa dini.

"Niendelee kumsihi Rais Samia asirudishwe nyuma na watu hao bali aendelee kuwa na hofu ya Mungu katika kusaidia huduma za kiroho nchini."

Askofu Mkuu Shoo amebainisha hayo Julai 03, 2025 Jijini Dodoma wakati wa Mkutano Mkuu wa 32 wa CCT ambapo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano huo.

"Mahali pengine tunahitaji hekima, tunahitaji uelewa mzuri, tusifanye tu kama kuna sababu ya kumpinga Rais kwa namna yoyote ile, kumchukia kwasababu zako mwenyewe, kwa hiyo naomba Rais kwa unyenyekevu wake na kwa hofu yake anapotoa mchango kwa kazi ya kuwahudumia watu wa Mungu naomba sana tukwepe makosa makubwa ya kumsingizia kitu ambacho hajadhamiria kwenye moyo wake kwamba hii sasa ni rushwa." amesema Askofu Shoo

Uchawa umetamalaki mpaka kanisani.

Chura Kiziwi angekuwa mnyenyekevu na mwenye hofu ya Mungu asingekumbatia abductions, torture and/or killings of her critics!
 
Lutherans na pesa ni sawa na mavi na blanketi, wanathamini sana pesa kuliko hata imani zao. Wanaamini kuwa ukiwa na pesa hata Zambi zako zinayeyuka
Dhambi gani tena mkuu!!
Si Yesu kasulubiwa ili tupate kusamehewa sisi wanadamu?
 
Wakuu,

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo nchini Tanzania CCT, Askofu Dkt. Fredrick Shoo amesema kuwa baadhi ya watu kwa sababu zao binafsi wamekuwa wakidai kuwa msaada wa Rais, Dkt. Samia ni sehemu ya hongo, madai ambayo yamekuwa yakimuumiza sana kama kiongozi wa dini.

"Niendelee kumsihi Rais Samia asirudishwe nyuma na watu hao bali aendelee kuwa na hofu ya Mungu katika kusaidia huduma za kiroho nchini."

Askofu Mkuu Shoo amebainisha hayo Julai 03, 2025 Jijini Dodoma wakati wa Mkutano Mkuu wa 32 wa CCT ambapo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano huo.

"Mahali pengine tunahitaji hekima, tunahitaji uelewa mzuri, tusifanye tu kama kuna sababu ya kumpinga Rais kwa namna yoyote ile, kumchukia kwasababu zako mwenyewe, kwa hiyo naomba Rais kwa unyenyekevu wake na kwa hofu yake anapotoa mchango kwa kazi ya kuwahudumia watu wa Mungu naomba sana tukwepe makosa makubwa ya kumsingizia kitu ambacho hajadhamiria kwenye moyo wake kwamba hii sasa ni rushwa." amesema Askofu Shoo

Tatizo la Maaskofu wa KKKT Yanapenda kula kula,ukiwa muumini wa KKKT unalazimishwa uwambie mwaka mzima utawapa shilingi ngapi
Na wanakujazisha fomu,ila yenyewe hayakwambii mwaka mzima yatakufanyia nini
 
Huyu mzee ni rafiki yake Mwenyekiti kiti aliyestaafishwa na jamaa aliyeko nyuma ya Cage
 
Hawa watu sionagi cha maana walichonacho kumzidi binadamu mwingine yoyote hata wao hawajujui chochote kuhusu asili ya ulimwengu huu
 
Back
Top Bottom