GE2025 Askofu Fredrick Shoo: Mchango wa Rais Samia kwa Kanisa sio hongo. Niendelee kumsihi Rais Samia asirudishwe nyuma

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyu Bishop nilikuwa namheshimu lakini sasa anafanya tusimheshimu. Hivi kweli mambo yote yanayoendelea nchini hayaoni? Waumini kunyimwa kusali hajaona? Viongozi wa upinzani kuonewa haoni? Watu kutekwa haoni? Suala la michango ni suala binafsi na wala halitosis jamii. Kama anatoa sadaka au michango au anaconda hilo ni lake halituhusu sisi wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…