π€£Bila kufikiria mara mbili polisi wakaenda kujazana pale wakaambulia manyoya
Kwa hela aliyonayo gwajima anaweza kuirudisha bikra ya mke wako, akawarudisha watoto wako tumboni Kwa mkeo akamuoa upya akampa mimba akawazaa watoto upyampen kichwa tu hapo ndiyo imetooka akitaka kanisa lirudi lazima akalambe watu miguuuu la sivyo akalime matango na matobolwa kwao
WACHA TUMPE MAUA YAKE MAPEMA,UKWELI WASHAAMBIWA NA KANISA LITARUDI TU HATA KWA KUPIGA MAGOTImpen kichwa tu hapo ndiyo imetooka akitaka kanisa lirudi lazima akalambe watu miguuuu la sivyo akalime matango na matobolwa kwao
Mimi pia nilijikuta nimewaza kwanini hadi amesahau tarehe πBila kupoteza muda huyu jamaa mjanja sana.
Inasemakana ile video aliyorekodi kua yuko kanisani na nje kuna polisi ilikua danganya toto kuwapoteza maboya polisi.
Bila kufikiria mara mbili polisi wakaenda kujazana pale wakaambulia manyoya mtu kawaacha kwenye mataa. Gwajima pamoja na makando yake jamaa ana akili sana kuwalinganisha na viongozi wengi kwenye serikali jamaa alijifanya kasahau hadi tarehe ili ionekane yuko kwenye hatariπ kumbe wapi.
Namtakia kila la kheri huko aliko kwa kufumbua fumbo la utekaji M/Mungu ambariki sanaa.
Kwa hiyo upo sawa kabisa kuona watu wanauwawa na kutekwa?mpen kichwa tu hapo ndiyo imetooka akitaka kanisa lirudi lazima akalambe watu miguuuu la sivyo akalime matango na matobolwa kwao
Huko alipo Kuna muda mpaka anajishangaa kua ni Raisi kweli ama kweli Mara mia hata mzee wa TRATMkuu, Serikali yenyew inaongozwa na form 4 faulure unategemea miujiza yoyote kiutendaji?!
Ni wakuonewa huruma Hawa jamaaKwa hiyo upo sawa kabisa kuona watu wanauwawa na kutekwa?
Bado kuna watanzania wenzetu hamuelewi kuwa kama Gwajima amekutwa na hili, wewe kapuku itakuwaje?
Hii idia imefanana na idea fulani fulani za Mbaga Jr πKwa hela aliyonayo gwajima anaweza kuirudisha bikra ya mke wako, akawarudisha watoto wako tumboni Kwa mkeo akamuoa upya akampa mimba akawazaa watoto upya
Unataka kusemaje ndegeeπHii idia imefanana na idea fulani fulani za Mbaga Jr π
Anamkimbia shetwani badala ya amkabili? ππBila kupoteza muda huyu jamaa mjanja sana.
Inasemakana ile video aliyorekodi kua yuko kanisani na nje kuna polisi ilikua danganya toto kuwapoteza maboya polisi.
Bila kufikiria mara mbili polisi wakaenda kujazana pale wakaambulia manyoya mtu kawaacha kwenye mataa. Gwajima pamoja na makando yake jamaa ana akili sana kuwalinganisha na viongozi wengi kwenye serikali jamaa alijifanya kasahau hadi tarehe ili ionekane yuko kwenye hatariπ kumbe wapi.
Namtakia kila la kheri huko aliko kwa kufumbua fumbo la utekaji M/Mungu ambariki sanaa.
Jamaa ana idia kama za mbaga Jr,Unataka kusemaje ndegeeπ
Tukikupa wewe mwenye PHD ndiyo tutapata Maendeleo?Mkuu, Serikali yenyew inaongozwa na form 4 faulure unategemea miujiza yoyote kiutendaji?!