Askofu Gwajima akili kubwa sana, awauza polisi

Tarehe ngapi vile??๐Ÿค”
 
Anatapatapa tu kuishnei mwisho wa usanii wake umewadia.si rahisi kutumikia mabwana wawili. Ni suala la muda tu.
 
mpen kichwa tu hapo ndiyo imetooka akitaka kanisa lirudi lazima akalambe watu miguuuu la sivyo akalime matango na matobolwa kwao
Dada atalamba kama sio mtumishi wa Mungu alie hai hii vita sio ya gwajima tena ni Mungu mwenyewe mtu wa kiroho anaelewa
 
Anamkimbia shetwani badala ya amkabili? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ila tuliwaona waumini eti wanaomba Kwa kuzungukazunhuka na kunena Kwa Lugha ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

View: https://www.instagram.com/reel/DKcCiQxJKOc/?igsh=aGg4NXB4cGp3c3Nn
Pole na KAZI za mchana kutwa.

Pale ufufuo na uzima Kuna maombi ya kushindana.

Nakwambia ivi linawakuta Jambo pale KUNA MAJASUSI YA MBINGUNI NA NI MAJASUSI KWELI KWELI.

UTASIKIA SHABABAAAABAA LAKATIKASINO MOSIMOLIMOOO LAKATAKATAAA MASHIKATARASO SHARINAKAMBIZIZIIII KASEMONARISO

Hizo ni lugha za malaika na moto unawawakia wotee ni Jambo la mudaa
 
asijekuwa kaenda kwa baba kwenye maombi kama alivyofanya chungaji babagodi wa mwanza,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ