Askofu Gwajima akili kubwa sana, awauza polisi

Lakini shughuli za Kanisa lake zinaendelea?
 
Sidhani kama lengo la polisi lilikua kumkamata lengo lilikua kuzuia shughuli za kanisa zisiendelee
 
Angalia hata hii picha unaona kabisa hawa sio maaskofu ni walinzi maana wakakamavu 😁😁😁 ,angalia huyo wa nyuma hapo utaona. Au kuna anayewajua hao ajitokeze aseme hao maaskofu😁😁

Gwajima🙌🙌

Moderator add hii kwenye uzi pale
 

Attachments

  • 20250603_205107.jpg
    81.8 KB · Views: 20
Mshajaza vya kutosha kichwa yake inakaribia kupasuka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…