SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Siyo Bunge hili la kibushutiHivi anajua bunge ni dola inayojitegemea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo Bunge hili la kibushutiHivi anajua bunge ni dola inayojitegemea?
Ni Mpumbavu hivyo hana Faida nchini.Auawe kwa sababu gani
Mbona niliongea...Atakaporudi hato ongea tena kanisani kuhusu chanjo ya korona. Rejeeni yaliyomkuta Pascal Mayalla
Upumbavu wake ni nini?Ni Mpumbavu hivyo hana Faida nchini.
I appreciate him... He is a voice of the many...Huyu ndio mtu pekee amebaki na msimamo
Jumba la mipasho... Wakiongozwa na yule malkia hodari wa mipasho.Siyo Bunge hili la kibushuti
Namshauri Mch. Gwajima aende kwenye kikao hicho cha kamati kwa uangalifu mkubwa sana. Kwa kuwa katika vikao kama hivyo hatuchelewi kuambiwa mtu alijisikia vibaya wakati akihojiwa kisha akapelekwa ofisi ya jirani ili apumzike kidogo, hali ikazi kuwa mbaya na hatimaye umauti ukamfikia akiwa njiani akipelekwa hospitali. Hapo ndipo zianaanza kumiminika salamu tele za rambirambi na sifa nyingi kwenda kwake kuwa alikuwa ni mtu jasiri na mwenye msimamo.Gwajima admits to have received Speaker's letter
SUNDAY AUGUST 22 2021
![]()
MPs Josephat Gwajima (Kawe)
![]()
By Elizabeth Edward
More by this Author
Dar es Salaam. Member of Parliament for Kawe constituency, Bishop Josephat Gwajima has admitted receiving a letter requiring him to appear before the Parliamentary Committee on Justice, Ethics and Powers
Gwajima made the remarks on Sunday August 22, during a church service the ‘Ufufuo na Uzima’ Church in Ubungo, Dar es Salaam
"I have received a letter from the Speaker to appear before the committee tomorrow, I will go, I’m saying here because the person who sent me the letter has also posted it on social media asking me why I say things on social media platforms and he also will tell me why he did the same thing,” said Gwajima.
Bishop Gwajima said he will go to the committee and stand by the truth as his faith require him to do so.
"I will go to the committee to tell the truth. I will tell the truth because the faith of CCM is the truth [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] and I will add other things that I have never said. We must manage the country and our the next generation," said Bishop Gwajima.
On Saturday August 21, this year, the Speaker of the National Assembly, Job Ndugai instructed MPs Josephat Gwajima (Kawe) and Jerry Silaa (Ukonga), to appear before the Parliamentary Committee on Justice, Ethics and Powers to answer various allegations including lying and degrading Parliament's dignity.
Namshauri Mch. Gwajima aende kwenye kikao hicho cha kamati kwa uangalifu mkubwa sana. Kwa kuwa katika vikao kama hivyo hatuchelewi kuambiwa mtu alijisikia vibaya wakati akihojiwa kisha akapelekwa ofisi ya jirani ili apumzike kidogo, hali ikazi kuwa mbaya na hatimaye umauti ukamfikia akiwa njiani akipelekwa hospitali. Hapo ndipo zianaanza kumiminika salamu tele za rambirambi na sifa nyingi kwenda kwake kuwa alikuwa ni mtu jasiri na mwenye msimamo.
Hapo hutasikia tena mambo sijui ya mkono wake wa baunsa akiwa chobingo na pisi kali wala mambo ya kufufua misukule. Marehemu Horace Kolimba, Mh. Philip Mangula ambaye alinusurika, Marehemu Eng. Mfugale hizi ni rejea chache ambazo Mch. Gwajima anapaswa azifanyie kazi na kuzichukulia kama angalizo kwake.
Kama ulionao.Upumbavu wake ni nini?

Staajabu ya Musa Ukayaone ya FilauniGwajima admits to have received Speaker's letter
SUNDAY AUGUST 22 2021
![]()
MPs Josephat Gwajima (Kawe)
![]()
By Elizabeth Edward
More by this Author
Dar es Salaam. Member of Parliament for Kawe constituency, Bishop Josephat Gwajima has admitted receiving a letter requiring him to appear before the Parliamentary Committee on Justice, Ethics and Powers
Gwajima made the remarks on Sunday August 22, during a church service the ‘Ufufuo na Uzima’ Church in Ubungo, Dar es Salaam
"I have received a letter from the Speaker to appear before the committee tomorrow, I will go, I’m saying here because the person who sent me the letter has also posted it on social media asking me why I say things on social media platforms and he also will tell me why he did the same thing,” said Gwajima.
Bishop Gwajima said he will go to the committee and stand by the truth as his faith require him to do so.
"I will go to the committee to tell the truth. I will tell the truth because the faith of CCM is the truth 🤣 🤣 🤣 and I will add other things that I have never said. We must manage the country and our the next generation," said Bishop Gwajima.
On Saturday August 21, this year, the Speaker of the National Assembly, Job Ndugai instructed MPs Josephat Gwajima (Kawe) and Jerry Silaa (Ukonga), to appear before the Parliamentary Committee on Justice, Ethics and Powers to answer various allegations including lying and degrading Parliament's dignity.
Staajabu ya Musa Ukayaone ya Filauni
Nchi imepoteza mwelekeo
Ni sawa na gari bovu linajaribu kupanda Kitonga
Tuwe watazamaji
Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime Wakipatana chukua kapu ukavune
Vigumu na dhambi kumwamini mwanadamu
Siasa ni mchezo mchafu
Migogoro umbea udaku masengenyo kila upande
Vyama vimechukua nafasi ya wasaniii Ni Usanii mwanzo mwisho...
Hii kamati itajenga au kuibomoa ngome fulani fulani
Tuombe sana Mungu atuongoze tulipo na tunapotaka kufika ni Neema itende muujiza..
Kuna umuhimu wa kuvunja Bunge na serikali kwa ujumla...
Msogwa jazz band wameegesha
Hakika.Huyu ndio mtu pekee amebaki na msimamo
Ndugai kitu gani bhana!Hamjui Ndugai huyo
god of hellWhich god?
The stupid manyI appreciate him... He is a voice of the many...
Namshauri Mch. Gwajima aende kwenye kikao hicho cha kamati kwa uangalifu mkubwa sana. Kwa kuwa katika vikao kama hivyo hatuchelewi kuambiwa mtu alijisikia vibaya wakati akihojiwa kisha akapelekwa ofisi ya jirani ili apumzike kidogo, hali ikazi kuwa mbaya na hatimaye umauti ukamfikia akiwa njiani akipelekwa hospitali. Hapo ndipo zianaanza kumiminika salamu tele za rambirambi na sifa nyingi kwenda kwake kuwa alikuwa ni mtu jasiri na mwenye msimamo.
Hapo hutasikia tena mambo sijui ya mkono wake wa baunsa akiwa chobingo na pisi kali wala mambo ya kufufua misukule. Marehemu Horace Kolimba, Mh. Philip Mangula ambaye alinusurika, Marehemu Eng. Mfugale hizi ni rejea chache ambazo Mch. Gwajima anapaswa azifanyie kazi na kuzichukulia kama angalizo kwake.
Hili swali mwenye kujibu ni Assad au Pascal MayallaHivi si inarusiwa kwenda na mwanasheria wake au mtu yeyote anayemwamini?
Ila kwa Mungu alivyomkuu kukiwapo hila au ubaya Mungu matendo yake yatisha kama nini!
Siri za Mungu zinao wamchao!