Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Hili swali mwenye kujibu ni Assad au Pascal Mayalla
Okey!
But in most cases inapaswa kuwa hivyo !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili swali mwenye kujibu ni Assad au Pascal Mayalla
Sijajua ila hao niliyokutajia walishawahi kuitwa na walirudi bila majibu kwa kile kilichojiri na nahisi watafunga mdomo hadi kaburiniOkey!
But in most cases inapaswa kuwa hivyo !
😂😂😂Ndugai atawatishia wabunge maskini, ambao bila ubunge hawana pa kujishikiza.
Anatafuta kupewa uwaziri[emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba asibadilike kabisa na Bwana wa majeshi awe upande wakeAtabadilika tu...!
Hamuulize mkuu Pascal Mayalla alivyoitwa Kwenye kamati ya bungeHamjui Ndugai huyo
Kuna msemo unasema "NO ONE IS CLEAN IN THE EYE OF THE GOVERNMENT".Ndugai atawatishia wabunge maskini, ambao bila ubunge hawana pa kujishikiza.
Unakipimo kipi cha kuthibitisha kuwa huyu si wa Mungu na huyu ni wa Mungu?Swali zuri, hii TZ yetu ya ajabu sana, wahuni kama Gwajima ndiyo wanaaminiwa
Yes, we the stupid many... whose facts can NEVER be technically responded by YOU THE FEW CCM SMART MINDED people.The stupid many
The stupid many
Mzee Stiven Gwajima alifariki dunia tarehe 30/9/2019 jijini Dar es Salaam. Mtoto wake Mwanasheria Msomi Methusela Gwajima amezungumza na #KitengeTV na kusema huyo ndio alikuwa Baba yake na Mkwe wa Waziri wa Afya na sio mwingine yeyote "Amesema jioni hii" https://t.co/xJQA3bdQVEYes, we the stupid many... whose facts can NEVER be technically responded by YOU THE FEW CCM SMART MINDED people.
Ila wahuni wakipanda meli toka ulaya ndio mnawaamini sio!! Pumba kabisa.Swali zuri, hii TZ yetu ya ajabu sana, wahuni kama Gwajima ndiyo wanaaminiwa
Inaiogopa kufa?,pumbavu zako ,utakufa tu na kuozaMsimamo wa kujitafutia Kuuawa bure?
Hamuulize mkuu Pascal Mayalla alivyoitwa Kwenye kamati ya bunge
So what?!Mzee Stiven Gwajima alifariki dunia tarehe 30/9/2019 jijini Dar es Salaam. Mtoto wake Mwanasheria Msomi Methusela Gwajima amezungumza na #KitengeTV na kusema huyo ndio alikuwa Baba yake na Mkwe wa Waziri wa Afya na sio mwingine yeyote "Amesema jioni hii" https://t.co/xJQA3bdQVE