Askofu Gwajima akiri kupokea barua ya wito wa Kamati ya Maadili

Gwajima apewe kesi ya uhaini, ana lengo hovu yeye na timu yake, afutwe kwenye chama na avuliwe ubunge taperi huyo
Uanachama mnaweza kumvua ila ubunge hamna iyo jeuri. Imeandikwa achimbaye shimo atatumbukia mwenyewe naye abiringishaye jiwe litamrudia CCM waliwachimbia shimo upinzani kwa wale wabunge 19 na sasa wanatumbukia wenyewe.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kuhusu chanjo hapana ila Selikari nakubaliana na wewe. Kwa msiojua Gwajima alisema ili jambo toka mwaka 2007 pale Kawe.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
The name of this God is?
 
Gwajima ndio atajua kuwa hajui siasa.
Hapa pole pole anaingizwa choo cha kkike.
Kama ni unafiki na fitna, hakuna kama vikao vya cham tawala.
Kajiingiza mwenyewe kwa kutaka ligi na wana CCM wenziwe.
Kanis a lake likifungiwa asimlaumu mtu, mana ndio inampa kichwa.
 

Huyu bwana siungi mkono anachokifanya, ni ujinga ucomithilika. Ingependeza zaidi lalamiko la covid-19 aachanenalo, na kisha aungane na wakina mbowe na wenzie kudai katiba mpya ipitishwe.
 
Mch. Gwajima umefanya vyema sana kupokea ushauri na kuchukua hatua stahiki kwa wakati. Wale jamaa, machoni ni kama watu ila mioyoni mwao ni kama hayawani wa mwituni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…